TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 11,169 Reaction score 30,633 Nov 12, 2015 #2 mwenyewe hapo unaona ushafanya biashara
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 Nov 12, 2015 #3 floki said: Samsung inauzwa Click to expand... Jazia nyama kwenye post yako!
F floki Member Joined Oct 8, 2015 Posts 24 Reaction score 5 Nov 12, 2015 Thread starter #4 Samsung s6 mpya inauzwa.. Bei 1500000.. Kwa mawasiliano zaidi 0717591756
M Mtoto Tajiri JF-Expert Member Joined Sep 29, 2014 Posts 300 Reaction score 173 Nov 12, 2015 #5 1.5milioni!ni mtaji tosha!ukinunua mabelo 6 ya mtumba na ukiyauza ndani ya wiki3 huwezi kukosa Laki5 faida!huu ni msimu wa kazi tuache masihara!Lol
1.5milioni!ni mtaji tosha!ukinunua mabelo 6 ya mtumba na ukiyauza ndani ya wiki3 huwezi kukosa Laki5 faida!huu ni msimu wa kazi tuache masihara!Lol
N Ndakilawe JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 4,815 Reaction score 2,832 Nov 12, 2015 #6 kauze kkoo....kama hujapata kwa laki 3, hiyo s6 yako!
Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,333 Nov 12, 2015 #7 Ndio bei yake Kama ni original Mtoa mada yuko sahihi,tatizo wengi mmezoea vitu fake