Samsung S6 edge

Diaryjr

Senior Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
190
Reaction score
136
Msaada wakuu. Hii simu bado mpya kabisa lakini nikiweka tathering na nikaconnect PC basi simu inapata moto vibaya sana.

Mwenye kujua tatizo anisaidie please
 
Sawa mkuu
Sijawahi ona model kama hii, huko kwenye pc huwa unadownload ama kufanya task kubwa?

Unaweza download app ya cpu z? Kisha ikiwa inapata hilo joto angalia tab ya thermal uone ni nyuzi ngapi.
 
Sijawahi ona model kama hii, huko kwenye pc huwa unadownload ama kufanya task kubwa?

Unaweza download app ya cpu z? Kisha ikiwa inapata hilo joto angalia tab ya thermal uone ni nyuzi ngapi.
Hapa ipo kwenye matumizi ya kawaida ingawa imeanza kupata joto pia
 
Hizi simu ovyo kabisa.chaji bhana.alafu hazichelewi kujizima.yaani sijui kwanini makampuni ya simu yanachemka kwenye betri.
 
Msaada wakuu. Hii simu bado mpya kabisa lakini nikiweka tathering na nikaconnect PC basi simu inapata moto vibaya sana.

Mwenye kujua tatizo anisaidie please
Simu sio mpya bali nizile zilizo fanyiwa malekebisho na hayo ndo matatizo yake kwa jina lingine refublish wazungu uwa ni wakweli wakati wa kuuza mali zao ila wabongo utasikia kitu mpya wakati ukifungua ndani kua hadi mabox nje tu ndo mng'ao
 
Samsung yangu naipenda haina upumbavu wa kuheat,[emoji23][emoji23][emoji23]nimetoka android 6 .0 leo nipo 8.0
 
Samsung j7 pro haina ujinga wa kuheat
 
Hapa ipo kwenye matumizi ya kawaida ingawa imeanza kupata joto piaView attachment 916674
mkuu 50 ni kawaida, hilo joto sio kubwa sana, ni vyema ukaipima ikiwa inapata joto kali ili uone kama ni safe, ila 50, 60 ni kawaida kwa cpu.

kupunguza joto unaweza ukaeka simu kwenye battery server mode.
 
Msaada wakuu. Hii simu bado mpya kabisa lakini nikiweka tathering na nikaconnect PC basi simu inapata moto vibaya sana.

Mwenye kujua tatizo anisaidie please
Iweke cm yako kwenye mfuko wa lailoni halafu iweke cm kwenye Jokofu kwa dakika 59. Halafu irudishe kwenye pc yako huku ukiwa umeiyunganisha na pc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ