samsung s5 only GSM

Cheguevara Jr

Senior Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
134
Reaction score
128
ninasamsung s5 korea version tatizo lake haichange network mode yaan mda wote ni gsm nikitaka kubadili kwenda kwenye
auto haitaki,je tazizo ni nini wanajamwi??????????????????msada tafandhali
 
sasa nafanyaje tutatua tatizo?

MKuu sasa kama ni mchina hapo kuna tatizo gani? hiyo ndio kawaida yake kubaliana na matokeo.

Samsung s5 original sio mchezo bana ina mpaka 4G, hiyo yako lazima itakuwa kanyaboya.
 
MKuu sasa kama ni mchina hapo kuna tatizo gani? hiyo ndio kawaida yake kubaliana na matokeo.

Samsung s5 original sio mchezo bana ina mpaka 4G, hiyo yako lazima itakuwa kanyaboya.
Nimeichek vodashop.. Price ni Tshs.1,350,000
 
Leta hapa hiyo s5 nikupe laki na nusu cash. 0714-408238.
 
ninasamsung s5 korea version tatizo lake haichange network mode yaan mda wote ni gsm nikitaka kubadili kwenda kwenye
auto haitaki,je tazizo ni nini wanajamwi??????????????????msada tafandhali

obvious hizo simu huwa ni 4g... (SI NI ZILE LTE!!??) ila most of the time inakuwa 3g.. nlikuwa na s3 nlikuwa nashindwa kuiweka kwenye 2g mode ili nisave battery uses... but it ensured me maximum performance..
je hiyo yako unamaanisha imeganda 2g haipandi 3g?..
.hebu weka model namba yake tuangalie uwezekano wa kuvunja bei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…