MSAADA:WAKUU NINA SAMSUNG S4 MINI SGH-I257.

ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,676
2,556
Hii simu ni USED imetengenezwa 2014 lakini sasa chakushangaza simu nimejitaidi kuiwekea ujuzi upande wa software mobile imeshindikana .
nimefanyanya haya yafuatayo:-
1.Kuflash simu kwa kuweka full firmware version yake I257,
2:Odin kwa ajili ya kuflashia hii simu.
3:All samsung USB drivers .
4:USB CABLE .

zoezi limeenda shwar mpaka mwisho ☆lakini sasa nimeflash tatizo bado liko pale pale , SOMETIME NETWORK UNAONA INAREAD YENYEWE BILA KUAMBIWA WALA NINI MUDA MWINGINE INAJIONDOKEA YENYEWE .
HAPA SIELEWI TATIZO NI NINI ???
MPAKA NAIFLASH COZ NIMEFANYA backup and reset kila mara lkn problem ni ile ile , nashindwa kuelewa what is the problem ?
NAOMBENI WATAALAM WA HARDWARE OR SOFTWARE MNISAIDIE NJIA MBADALA MAANA KAMA NI KUSELECT AUTO OR MANUAL KOTE IMEGONGA MWAMBA PIA NIMEJARIBU KWA (*#*#4636#*#* ) LAKINI TATIZO BADO LILE LILE .

MSAADA WENU JAMANI
Screenshot_2017-05-25-17-17-51.png
Screenshot_2017-05-25-17-18-02.png
 
Back
Top Bottom