Mkuu hii umempa bei nzuri sana ingawa hukusema kama ni mpya au used.
Mpya pale Xpress Telecom +255684981777 ni 950K-VAT incl.na warranty ya 2 yrs.
Chokamb angalia vizuri, hizi simu ikiwa bei rahisi sana hata kama ni used omba ushauri usije ukauziwa ya wizi ukashikwa na na ngozi ya mbuzi au ukauziwa ya kichina ukajuta.Umeusoma uzi wa simu za wizi?