iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,921
- 2,161
Chukua iPhone 14 Pro Max.
*Hapo iPhone 14 Pro Max inatoa picha nzuri, inarekodi video nzuri, software yake inakuwa supported muda mrefu zaidi kuliko ya Samsung, inatunza chaji kwa 39% zaidi ya S22 Ultra, inatumia Bluetooth version mpya zaidi (v5.3), na bado ina performance kubwa zaidi ya hiyo Samsung, display yake inafikia peak brigtness ya 1748nits ambayo ni 39% kuliko ya Samsung ambayo ni 1254nits n.k
iPhone 14 Pro Max inashindanishwa na Samsung Galaxy S23 Ultra na sio S22 Ultra.
iOS wakitoa restrictions kama EU wanavyotaka hizi simu nitaanza kuzipenda tena.
Kwa sasa restrictions zao sizipendi. Natamani hiyo iOS itolewe restrictions
Juzi iphone wametoa ios mpy 16.4 chaajabu na cha kushangaza vitu vipya walivyoweka vinapatikana kwenye android kit kat uko ambayo ilitoka miaka zaid ya 5 nyuma...
.
So far ubora wa iphone unabebwa na jin lake na kuwa ni bidhaa ya mmarekani ila kiukwel iphone ni simu ya kawaida hakun kitu ambacho kipo kweny iphone hakipo kweny samsung
acha tu Mkuu yaani apple sikuhizi wakitoa update Mpya ukiangalia unaona ni kama hamna kitu kipya walichoongeza. Kwenye 16.4 una update ili kupata emoji za farcis kweli 😀😀. Sina uzoefu sana na samsung ila kwaupande wa apple wanajitahidi sana kwenye upande wa hardware na durability ya device.
iOS wakitoa restrictions kama EU wanavyotaka hizi simu nitaanza kuzipenda tena.
Kwa sasa restrictions zao sizipendi. Natamani hiyo iOS itolewe restrictions
Kwa hiyo unahisi watapinga matakwa ya EURestriction ndio their selling point, ni moja ya security features. Siwaoni wakiondoa leo au kesho
Mkuu s23 series ni much better kila idara kuliko s22 series. Angalia s23 ultra kama unaweza ku afford, otherwise 14 pro max.Wataalamu ebu nishaurini. Nina iphone 12 pro max nataka kununua iphone 14 pro max au samsung s22 ultra.
Which way should I go!
Kwa hiyo unahisi watapinga matakwa ya EU
Well its bot the first time apple wamepelekana mahakamani na serikali concerning privacy, dont know how it will turn out but somehow apple hawato risk their selling point
Anyway, one day I will try them hata kama zitaendelea kuwa na restrictionsWell its bot the first time apple wamepelekana mahakamani na serikali concerning privacy, dont know how it will turn out but somehow apple hawato risk their selling point
Hivi ni kweli EU wanataka simu zije na removable batteries?Inasemakana wanaweka kutumia type C lakini itakuwa imelimitiwa kabisa kwa chip ya ndani na sio software kwa hiyo ni kuchaji tu
Nakazia! Huo ndio ukweli.So far ubora wa iphone unabebwa na jin lake na kuwa ni bidhaa ya mmarekani ila kiukwel iphone ni simu ya kawaida hakun kitu ambacho kipo kweny iphone hakipo kweny samsung
Hatushindanishi watu hapa mkuu, hukua na sababu yoyote ya kuwataja hao watu.😡😡😡😡Nimewahi kuuliza swali hili, ni vena uwe unasearch keyword kwanza ili ujue kama Kuna mjadala ushawahi tokea ili kama hakuna ndouuliza na kama upo usome komenti. Anyway ngoja aje Reuben Challe akujibu japo wengi wanamwona chifu mkwawa ndo.expert ila mm ni Reuben
Anyway, one day I will try them hata kama zitaendelea kuwa na restrictions
Kama Apple atajaribu kufungua kesi mahakamani basi natamani ashindwe ili hizo restrictions zitolewe hata kama ni kwa EU version pekee, tutazitafuta hizohizo.
Umekariri jina la iphone kama kijana wa makumbusho ,,Acha kulinganisha iphone na upumbavu
Jitu nalitetea halitaki kujikubali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chief-Mkwawa ni expert. Vitu vingi huwa ninamuuliza yeye