Acha kulinganisha Oppo na hizo rimoti za sabufa. Chukua Oppo Find X2 Pro ambayo ndio flagship yao ilinganishe na hizo iPhone 11 Pro, Samsung S20 Ultra, Huawei P40 Pro, Huawei Mate 40, Xiaomi Mi10 Pro na Ultra na flagship nyingine za last year kutoka kwa OnePlus, Asus, Poco na brand kubwa nyingine.
Leo wamesema mwezi March wanatoa Find X3 utaona moto wake, renders zishaanza kuonekana.
Unalinganisha kampuni inayocheza nafasi ya 5 na 6 kwa ubora wa simu duniani dhidi ya kampuni ambayo haiuzi simu Eastern Asia, Middle East, Ulaya wala Marekani.
Nakupa references, kasome testing za kina AnTunTu na Geekbench.