Samsung S21 zimefeli sokoni kuliko S20 na S10

Samsung S21 zimefeli sokoni kuliko S20 na S10

Narudia tena Samsung soko la high end hana chake that’s why anaenda na Mediatek anabanana na Mchina simu za bei ndogo, watu hamtaki kukubali hili , Kule juu kunahitaji creativity na research za hali ya juu.

Apple anatoa simu moja mbili kwa mwaka sawa lakini ukiona ametoa hiyo moja basi jua kazi kubwa imefanyika ndo maana zinauzika despite bei kuwa juu na bado zinadumu sana(narudia they dont ship junk or gimmicks, Nimetumia S21 ultra ukiwasha camera inachukua muda ku capture hata focus yake ina struggle ni jambo la kushangaza sana sijui tatizo ni software au hardware na wanaweza toa simu nyingine mwakani kabla hawaja fix tatizo la mwanzo

Kuongeza Ram na Megapixel hakumpeleki popote ana brush wateja tu na ndo maana wale wanaoelewa hawanunui tena High end za Samsung. Hili jambo niliwaambia kipindi anatoa foldable phone na kweli ikaja kufeli vibaya mno(unajua Kwa nini ?). Fuatilia comment zangu za nyuma kuhusu high end Samsung, fuatilia foldable phone fuatilia ule uzi wa Samsung kwenda mediatek angalia post zangu linganisha na hali ya sasa utanielewa. Historia ni mwalimu mzuri. Rudia nyuma kabisa cheki comment zangu kuhusu iPhone 6 wakati inatoka utanielewa. Otherwise endelezeni ubishi tu wakati wengine wanauza 100mil + yeye bado anacheza kwenye 10mil + na mnaiita mafanikio
kwamba apple yupo juu sababu ya research na sio isheep? hebu tutajie invention zake kwenye hizo flagship?
 
Mi nasubiri pixel 6 pro nijue itakuaje niivute basi hapo mpaka miaka mitano ipite
 
Apple anatoa simu moja mbili kwa mwaka sawa lakini ukiona ametoa hiyo moja basi jua kazi kubwa imefanyika ndo maana zinauzika despite bei kuwa juu
Mkuu hivi unafanya research ya specs vizuri ya hizi devices? Apple acha auze sababu tayari ameshawin saikolojia ya watu na hiko ndio kinamfanga auze sana na ndio maana watuamiaji wengi wa iphone wenyewe hata hawajui kwann wamenunua zaidi ya show off!
 
S21 na s21+ labda uzisemee hizo, na hizo zinaonekana kufeli kwa sababu watu hawaoni sababu ya kuzinunua hasa wa ku upgrade maana specs zake kama display nk zinaonekana ni ama ziko chini kuliko series za nyuma hasa s20 na s20+...
 
Samsung ni nzuri on paper ila ukija kwenye reality anapigwa mbali . Apple ame balance kila kitu vizuri haendi na numbers kama samsung. Samsung na wachina wengi wanaenda na numbers utaskia megapixel 40 Ram 16 n.k ila ukija kwenye ufanyaji kazi ni majanga. Hili liko wazi

Hujiulizi kwa nini Apple anakuwa game changer yan akifanya kitu utaona kila simu inafuata na kwa bahati mbaya ile experience hawawezi kuifikia

Mfano mdogo tu angalia ni wireless earpods ngapi zimeingia sokoni baada ya apple kutengeneza ? Ni simu ngapi zimeondoa earphone Jack baada ya apple kutengeneza ? Hiyo ndo research na kuangalia gap kwenye soko otherwise utaendelea kuongeza zoom capability, megapixels, resolution na Ram but hai make any difference ukija kwenye matumizi
Hizi ni inventions? Ulichotaja wewe ni trend, invention na innovation na research ulizosema zinatoka maabara. Mfano
1. Samsung anatengeneza display nzuri za Amoled, IPhone ananunua Display za Samsung
2. Qualcomm anatengeneza Modem nzuri za simu, Apple alijaribu kutumia za Intel zika backfire
3. Samsung anatengeneza storage na memory kwa ujumla nzuri amekuwa pioneer wa lpddr5 na vifaa vingi vinatumia.
4. Kuna makampuni mbalimbali yamedevelop 5G zinatumika kwenye simu.
5. Kampuni zina develop higher refresh display, touch sampling, variable refresh rate etc.

Kuna mambo mengi watu wanagundua. Wewe juu Ume claim Apple anauza sababu anafanya research, ni gunduzi zipi zilizotoka maabara za Apple ambazo zinasumbua sokoni?
 
Hata Techno na Infinix zina Megapixel 20 ila camera zake ni aibu . Issue siyo specs on paper mkuu . Usidanganywe na zile numbers. They mean nothing if they cant deliver. Mifano ipo mingi mno
sasa aliyekuambia ubora wa camera ni ukubwa wa megapixel ni nani? Camera haipimwi kwa megapixel mkuu... jaribu kuingia deep kidogo usiishie juu juu... Watu wanafanya kazi
 
Hujajua maana ya research .. usilazimishe research zifanane. Labda nikuulize swali kwa nini s21 ime struggle na ukizingatia ina spec sheet kubwa sana . Nipe jibu hapo
Sababu ni nyingi.
1. Bei kubwa, flagship zinazidi milioni 3
2. Corona na supply issues
3. Midrange zimekuwa Good enough etc

A50 mwaka juzi ilikuwa ni simu ya 3 kwa mauzo nyuma Ya iPhone 11 na A10, mwaka jana A51 ikawa simu ya 2 kwa mauzo nyuma Ya iPhone 11 na mwaka huu vile vile sitashangaa A52 ikawa ni best seller kwa Samsung.

A52S inakuja na sd 780 ambayo ina nguvu kuliko sd 855 kwenye s10 na almost inakaribia s20 kwa perfomance, huku ikiwa na camera nzuri yenye Optical stabilization, refresh rate 120hz, full HD Amoled, etc why mtu atoe Milioni 3 badala ya laki 8 ama Milioni 1 na anapata mambo mengi tu kutimiza Mahitaji yake?

Hata kwa iphone siku hizi zile model za bei Ghali haziuzi sana kama model za bei rahisi, Xr iliuza sana, iPhone 11 ikauza sana na sasa hivi iPhone 12 inauza sana, zile pro na pro max unless mtu anazi nunua kwa Mkataba ama kuna ofa, why ulipie Dola 400 zaidi kwa improvement ndogo ya camera na display?
 
H

IMG_20210811_150618.jpg
 
Ndo nachokwambia, usiishie kwenye specs za kwenye paper kama ulivyosema huko juu . Kipimo cha ubora ni experience siyo specification on paper. S21 looks good on paper lakini ni simu imejaa imbalance na haina ubora huo wa kwenye karatasi
Na mimi nilikuwa nakuambia wewe kuwq usikariri mepixel maana kuna vingine vya kuangali kama sensor na aina ya camera iliyotumika... Usiseme tu megapixel
 
Samsung ni nzuri on paper ila ukija kwenye reality anapigwa mbali . Apple ame balance kila kitu vizuri haendi na numbers kama samsung. Samsung na wachina wengi wanaenda na numbers utaskia megapixel 40 Ram 16 n.k ila ukija kwenye ufanyaji kazi ni majanga. Hili liko wazi

Hujiulizi kwa nini Apple anakuwa game changer yan akifanya kitu utaona kila simu inafuata na kwa bahati mbaya ile experience hawawezi kuifikia

Mfano mdogo tu angalia ni wireless earpods ngapi zimeingia sokoni baada ya apple kutengeneza ? Ni simu ngapi zimeondoa earphone Jack baada ya apple kutengeneza ? Hiyo ndo research na kuangalia gap kwenye soko otherwise utaendelea kuongeza zoom capability, megapixels, resolution na Ram but hai make any difference ukija kwenye matumizi
Usiwasemee apple,jaribu kuwa na akiba ya maneno mkuu.

Hii tabia ya kuimba imba,ndio ilifanya watu wakakosa cha kuongea baada ya kudai apple iphone hazitatolewa zenye maumbo makubwa maana muasisi hakutaka,ghafla iphone 6 plus ikatoka ilikotokea.
Mwaka jana tumeona simu nne kwa mara moja sokoni,unadhani ni kwa kutaka ama kujaribu kwenda na matakwa ya watu wote!!sad story ni kwamba 12 min haijapokelewa kama ilivyotarajiwa.watu wamekomaa na 12 peke yake maana ndio imekamilika na ni himilivu kwenye bei.

Sababu iliyofanya watu wasinunue highend za samsung na kukimbilia midrange,ndio hiyo hiyo itakamata watu wa iship,ila sababu hakuna kimbilio wanatulia.
 
"Narudia tena Samsung soko la high end hana chake that’s why anaenda na Mediatek anabanana na Mchina simu za bei ndogo"

"Apple anatoa simu moja mbili kwa mwaka sawa lakini ukiona ametoa hiyo moja basi jua kazi kubwa imefanyika"

"na ndo maana wale wanaoelewa hawanunui tena High end za Samsung."
High end phones za SAMSUNG zenye Mediatek ni zipi!!, umewahi kutumia MTK phone yeyote na je kipi ulikikosa?

Ukiachilia mahaba yako kwa Apple unaweza kutuambia ni simu ipi ya apple ya mwaka huu ambayo wamefanya kazi kubwa yaani KAZI KUBWA namaanisha kazi KUBWA compare na simu ya mwaka jana,

Wanaoelewa ni wakina nani hao ambao hawanunui high-end za SAMSUNG? Ninavyojua mimi wanaolewa ni wale wanaonunua simu kufuata matakwa yao au kuangalia nini wanahitaji na sio show off kama wa Apple.
 
Usiwasemee apple,jaribu kuwa na akiba ya maneno mkuu.

Hii tabia ya kuimba imba,ndio ilifanya watu wakakosa cha kuongea baada ya kudai apple iphone hazitatolewa zenye maumbo makubwa maana muasisi hakutaka,ghafla iphone 6 plus ikatoka ilikotokea.
Mwaka jana tumeona simu nne kwa mara moja sokoni,unadhani ni kwa kutaka ama kujaribu kwenda na matakwa ya watu wote!!sad story ni kwamba 12 min haijapokelewa kama ilivyotarajiwa.watu wamekomaa na 12 peke yake maana ndio imekamilika na ni himilivu kwenye bei.

Sababu iliyofanya watu wasinunue highend za samsung na kukimbilia midrange,ndio hiyo hiyo itakamata watu wa iship,ila sababu hakuna kimbilio wanatulia.
True inafika mahali watu wanafika kikomo maàna hawaone jipya mtu a ongezeko szie ya display tu bei inatoka 800usd hadi 1200usd hizo si dharau sasa
 
True inafika mahali watu wanafika kikomo maàna hawaone jipya mtu a ongezeko szie ya display tu bei inatoka 800usd hadi 1200usd hizo si dharau sasa
Yeye anasema samsung wanakomaa mediatek,hata nikisema nikubaliane naye sijui ni simu gani ya samsung ambayo ni middrange inatumia mediatek,a71,a72,a50,51,52,au a80??

Wateja wa apple ni viumbe wa ajabu sana.
Yaani wanakubali apple ni bidhaa bora ila hawajiamini.
 
Hao ukitaka kuwaweza, waambie walete matunda yao then mkae mfanye speed na camera test live live uone wanavyokuwa wapole
 
Samsung ni nzuri on paper ila ukija kwenye reality anapigwa mbali . Apple ame balance kila kitu vizuri haendi na numbers kama samsung. Samsung na wachina wengi wanaenda na numbers utaskia megapixel 40 Ram 16 n.k ila ukija kwenye ufanyaji kazi ni majanga. Hili liko wazi

Hujiulizi kwa nini Apple anakuwa game changer yan akifanya kitu utaona kila simu inafuata na kwa bahati mbaya ile experience hawawezi kuifikia

Mfano mdogo tu angalia ni wireless earpods ngapi zimeingia sokoni baada ya apple kutengeneza ? Ni simu ngapi zimeondoa earphone Jack baada ya apple kutengeneza ? Hiyo ndo research na kuangalia gap kwenye soko otherwise utaendelea kuongeza zoom capability, megapixels, resolution na Ram but hai make any difference ukija kwenye matumizi
Hufai kuwa mchambuzi wa Tech dogo, Mihemko Mingi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom