Kwakweli hapa apple ni mchawi wa bei yani simu zake zashuka taratibuKipi kinacho zishusha thamani ya bei hizi flagship za kibabe za samsung sana sana hizi S series mfano S6 ilitoka na bei yake ilikua ni 1,465,000 mpaka 1,500,000 sasa hivi kariakoo na makumbusho unaipata S6 kwa 190,000 why
Kipi kinacho zishusha thamani ya bei hizi flagship za kibabe za samsung sana sana hizi S series mfano S6 ilitoka na bei yake ilikua ni 1,465,000 mpaka 1,500,000 sasa hivi kariakoo na makumbusho unaipata S6 kwa 190,000 why
Hizo ni refurb, halafu ya Zamani. S6 ilitoka na iphone 6 ambayo nayo ni around laki 2.Kipi kinacho zishusha thamani ya bei hizi flagship za kibabe za samsung sana sana hizi S series mfano S6 ilitoka na bei yake ilikua ni 1,465,000 mpaka 1,500,000 sasa hivi kariakoo na makumbusho unaipata S6 kwa 190,000 why
Unaangalia thamani ya simu kupitia Makumbusho, sawa na kulinganisha kiatu cha Jordani sokoni karume.Kipi kinacho zishusha thamani ya bei hizi flagship za kibabe za samsung sana sana hizi S series mfano S6 ilitoka na bei yake ilikua ni 1,465,000 mpaka 1,500,000 sasa hivi kariakoo na makumbusho unaipata S6 kwa 190,000 why
ebwana umempa mfano muruaUnaangalia thamani ya simu kupitia Makumbusho, sawa na kulinganisha kiatu cha Jordani sokoni karume.