1000 words
Senior Member
- Dec 29, 2012
- 169
- 32
ninauza simu ya samsung galaxy note 2 kwa Tsh 480,000 ni original na iko kwenye box lake nmeitumia kwa wiki kama mbili imenunulia tarehe 14/2/2014, sababu ya kuuza ni nimepata simu nyingine nataka kununua soo nauza hii niongezee ninunue, mwenye kuitaka asisite kunitafuta 0716651694 nipo dar mikocheni B