samsung na simu yao inayofukuza mbu

samsung na simu yao inayofukuza mbu

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,414
miezi kadhaa iliyopita niliona samsung wanatangaza simu yao yenye uwezo wa kufukuza mbu. nikafuatilia nikagundua kuna app ya android inaitwa mosquito repellant ambayo inapowashwa hutoa sauti yenye masafa(frequency) za sauti sawa na mabawa ya dragonfly ambaye anaogopwa na mbu, nikaamua kuipakua niijaribu. kweli sikuona chochote
:focus:
je mliotumia iyo simu, ni kweli imefukuza mbu au la?
 
Hukuona chochote as hukuona mbu wakusumbue au hukuona kama inafanya kazi.....
 
mkuu huwa inaishia kunimalizia charge ya battery...ukiweka simu maeneo ya kichwani, mbu wanadeal na visigino and vice versa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom