samsung na simu yao inayofukuza mbu

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
miezi kadhaa iliyopita niliona samsung wanatangaza simu yao yenye uwezo wa kufukuza mbu. nikafuatilia nikagundua kuna app ya android inaitwa mosquito repellant ambayo inapowashwa hutoa sauti yenye masafa(frequency) za sauti sawa na mabawa ya dragonfly ambaye anaogopwa na mbu, nikaamua kuipakua niijaribu. kweli sikuona chochote
:focus:
je mliotumia iyo simu, ni kweli imefukuza mbu au la?
 
Hukuona chochote as hukuona mbu wakusumbue au hukuona kama inafanya kazi.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom