Samsung na Galaxy S dhidi ya Apple na iPhone



I like this one too, unataka ku-challenge bring your perspective, your data, prove your point, bring counter arguments.

Mimi naona kama bado unabeat around the bush, we ndo uliyeleta article hapa, -mimi ni msomaji wakawaida tu ambaye katika kusoma nikahitaji kuelewa vizuri kwa kupata kujua hizi figures zako ulizozitumia humu mbona hujaonesha ulipozipata tujuridhishe na uhalali wake.
am merely asking simple questions.-

Sasa wewe all defensive na unataka counter arguments, niandike na reivew yangu pia...-

I think you have something else, if your aim was to challenge the content you would have foucsed on the key point.
to me every detail is important. No matter how little it may seem.-

I suggest that; be a man enough to say what is in you heart!
angalia ushaanza kuwa all emotional sasa..! Why all the paranoia...-

You left yourself off the guard when you brought this weak argument "“Why come here? We anzishia a thread kwenye hii forum? I know you know whats a forum”.-


Its not a weak argument.
We umezungumzia kuhusu azma yangu mimi.

Na mimi Nilitaka kujua kwanini umekuja hapa JF wakati unaonekana kama mtu ambaye hapendi kuwa question kwa ulicho andika...

Katika mjadala mzima hakuna mahala umetoa hata hoja moja ya mtazamo wako kuhusu mada husika,


 

The more you try the more you fail yourself badly, I think you are all over the place. Umetoka kabisa katika kile "ulichojifanya" ndio azma yako yalisi kutaka kujua chanzo cha data na kujifanya unahamu sana ya kujadili data au mada.

Don't worry Mundungus Fletcer, I will not bring anymore articles here. I think you will be quite content with my decision. LAKINI WATU KAMA WEWE NI KIKWAZO KWA UHURU WA KUTOA MAONI NA HABARI. Huu ndio ukweli, umeshindwa tu kusema usilete mada zako kwenye ukumbi huu lakini hii ndio azma yako halisi, are you the owner or shareholder of this Forum? You dont' have to answer this.

Mimi ni muungwana ungefunguka tu ukasema ukweli ningekuelewa. Ulikuwa huna haja ya kujifanya unataka kujua source ya data na mambo kama hayo. Sasa naamini ukiwa mswahili lazima utumie njia zetu za kiswahili kupata maendeleo maana waswahili watakuwekea vikwazo vya kiswahili ukiaribu njia tofauti.
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha ha ha ha ha........

Millah
Kama unaroho laini kaka, kweli hapa hapakufai.

Umenichekesha sana... Yani mimi nimekuwa kikwazo kwako kwa kutoa maoni , nabana mawazo... Hahahahahahaha...

Yani wewe umekimbia JF kwa swali challenge ndogo kama hii....

Kwa hiyo wewe ulitaka ukishaweka post yako hapa, watu tukupe LIKE na comments nzuri nzuri tu.... Poleee sana
 
Last edited by a moderator:

Mundungus Fletcher si wewe uliyenifanya niamue kuwacha kuleta makala hapa ni mazungumzo baina yangu na chief-mkwawa hivyo usijibe "credit" bure.

Nimeamua hivi kwa misingi ya kiungwana, na ukweli wewe huna swali table uliyouliza ina source umekwenda IDC umekwama kupata data kwa vile wewe sio registered member, sasa ulitaka mimi nikufanyie registration, nilipie ili wewe uweze kupata data zile?

Ningelikuwa naogopa maswali ningelifunga au ku-moderate maswali kwenye blogi yangu mwenyewe, lakini ukienda utakuta kuko open kuweka comment yoyote ile. Sikujua kama mjadala huu utaishia "kitoto" hivi, kwa vicheko vya ajabu, nilidhani nazungumza na mtu mwenye hekima na mawazo mapana.

Mundungus huwezi kuzuia mvua kunyesha, unaweza tu kuweka drainage system itakayopunguza madhara ya maji ya mvua!
 
Last edited by a moderator:
LAKINI WATU KAMA WEWE NI KIKWAZO KWA UHURU WA KUTOA MAONI NA HABARI.
Nilivyoona hivi nikajua mimi ndo chanzo. Wala sijajipa credit. I just used youe words


Any wai am relieved kwamba mimi sipo kwenye kumzuia mtu kutoa maoni yake.

Polee kwa kicheko... Mara moja moja tunaruhisiwa kuexpress vicheko. Doesnt mean am being umprofessional...
 
Last edited by a moderator:

Hata madikteta katika utawala husema mimi sio dikteta, na husema hivyo wakiamini wanayoyasema.
 

Mkuu uchambuzi mzuri, haya ni maswali niliyokua najiuliza endapo nitahamia Ios vitu gani nitavikosa vya Android..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…