Mundungus Fletcher
JF-Expert Member
- Jun 7, 2009
- 327
- 79
Ila nataka nikubainishie huu ukumbi wa great thinkers unaruhusu mpaka tetesi (habari ambazo si za uhakika)
-angalia hapa chiniSasa naomba uwe muwazi ni kwa nini unataka lazima mimi niweke full reference kwenye makala ninazoandika?Pamoja na kwamba JamiiForum inajiwakilisha kama mahala pa Great Thinkers lakini pia tunajua kwamba hapa si mahala pa Kitaaluma. So why?
mi nilikuwa nataka kujua hizi figure umezipata wapi? Umejuaje kama iphone waliuza hivyo? Au galaxy waliuza hivyo? Umekisia au?Phone zimeshauzwa milioni 133.7
na Galaxy S zimeuzwa milioni 74.3.
Takwimu hizi wewe umezipata wapi? Umejuaje kuwa galaxy s ilikuwa na wastani wa million 10Takwimu za awali zilionyesha kwamba huenda
mauzo ya Galaxy S yakawa makubwa kuliko ya-iPhone kwa mwaka 2012, lakini hatimae baada ya
kutolewa kwa iPhone 5 mambo yalibadilika na-iPhone kuendelea kushikilkia nambari moja katika
mauzo.-
takwimu zinaonyesha-kwamba mwaka 2010 Apple walikuwa wameuza
mara nne ya Galaxy S, yaani galaxy S ilikuwa-kwenye wastani wa simu milioni 10 na Apple-waliuza iPhone milioni 40. Il
-
-Hii hapa ni baadhi ya mifano ya uandishi wa Blogi kubwa za kimataifa:
Blogi inayomilikiwa na moja kati ya kampuni kubwa kabisa ulimwenguni Microsoft (MSN Tech blog) inaripoti kuzorota kwa mauzo ya iPhone na hakuna source, reference wala citation:[/SIZE][/FONT][/COLOR]Apple cuts orders for iPhone 5 parts, as sales slow
-Apple cuts orders
for iPhone 5 parts,
as sales slow Reuters: File. iPhone 5 sales: Apple has ordered
fewer parts for making its new phone than
originally anticipated.--Apple ordered far fewer parts for making
iPhones after sales of the iPhone 5 came in
lower than expected, due to heightened
competition from Samsung.-
.Apple Inc. has cut orders for LCD screens and
other parts for the iPhone 5 this quarter due to
weak demand, the Japanese daily Nikkei
reported on Monday, in a further sign the
company is losing ground to Asian smartphone
rivals
-Apple shares slid more than 3 percent Monday
morning. It was the biggest drag on the S&P
500 and Nasdaq composite indexes.-The news
also dragged shares of Apple suppliers such as
Cirrus Logic Inc. and Qualcomm Inc. "They've had great growth, but the growth is
going to slow because we have some
formidable competitors we didn't have when the
iPhone first came out," said Alan Lancz,
president at Alan B. Lancz & Associates, Inc. in
Toledo, Ohio.-Apple has asked Japan Display Inc., Sharp
Corp. and South Korea's LG Display Co. Ltd.
to roughly halve supplies of LCD panels from
an initial plan for about 65 million screens in
January-March, the Japanese daily said, citing
people familiar with the situation, adding that Apple also cut orders for other iPhone
components. The move, if confirmed, would tally with
analysts saying that sales of the new iPhone 5,
which was released in September, have not
been as strong as anticipated. Apple was not immediately available for
comment. No one at Sharp was immediately
available to comment on Monday a national
holiday in Japan and parts suppliers to Apple
in Taiwan declined to comment. Apple has lost ground in the $200 billion-plus
global smartphone market to South Korean rival
Samsung Electronics and smaller Chinese rivals
such as Huawei Technologies Co. Ltd. and
ZTE Corp. Jefferies analyst Peter Misek trimmed his
iPhone shipment estimates for the January-
March quarter on Dec.14, saying that the
technology company had started cutting orders
to suppliers to balance excess inventory.We hujaona hapo wanaonesha source ya info zao?-Apple also cut its orders for memory chips for
its new iPhone from its main supplier and
competitor Samsung, Reuters reported in
September, quoting sources with direct
knowledge of the matter. The company has been cutting back its orders
from Samsung as it seeks to diversify its
memory chip supply lines. SAMSUNG OVERTAKES APPLE Samsung said on Monday that global sales of its
flagship Galaxy S smartphones had topped 100
million since the first model was launched in
May 2010. The Galaxy S3, launched last May,
sold more than 40 million in seven months. The new Galaxy S IV is widely expected to be
released within months, and may have an
unbreakable screen, full high-definition quality
resolution boasting 440 pixels per inch, and a
more powerful processor. RELATED: Samsung Galaxy SIV preview at CES Samsung has overtaken Apple, helped in part
by the popularity of its Galaxy Note II phone-
cum-tablet, reinforcing the benefits of offering a
wider range of handheld devices at most price
points, while Apple rolled out just a single new
smartphone last year globally, analysts have said. Samsung is expected to increase its smartphone
sales by more than a third this year, and widen
its lead over Apple, according to researcher
Strategy Analytics, which has forecast Samsung
will sell 290 million smartphones in 2013 versus
iPhone sales of 180 million. Kim Sung-in, an analyst at Kiwoom Securities
in Seoul, sees Samsung shipping 320 million
smartphones this year and doubling sales of its
tablets to 32 million. Japan Display's plant in Nomi, southwest Japan,
where Apple has invested heavily, is expected
to temporarily reduce output by up to 80 percent
from October-December levels, the Nikkei
reported, while Sharp's dedicated facility for
iPhone 5 LCD panels will trim production in January-February by about 40 percent.-
Reuters contributed to this
report.
Au wewe ukisikia reference unafikiria nini? -
Kuzi list chini?
Hujaona pale kuna sehemu wanasema-
Huu mjadala hauna matunda yoyote wala sijui muelekeo wako hasa ni nini! Ila ninachoweza kusema kwamba nimeeleza ya kutosha kuhusu approach yangu kuhusu kwamba sitafanya reference kwenye blog wala kwenye forum hili nimeliweka wazi na kueleza sababu, take a good look at these blogs:So hii ni tetesi?-
-angalia hapa chini
i mi nilikuwa nataka kujua hizi figure umezipata wapi? Umejuaje kama iphone waliuza hivyo? Au galaxy waliuza hivyo? Umekisia au?
Takwimu hizi wewe umezipata wapi? Umejuaje kuwa galaxy s ilikuwa na wastani wa million 10
Millah,
Mi nimeuliza swali kuwa wewe umetaja figures hapa, je source yake?-
We ukaanza kusema huitaji kucite reference. Unajiamini unachoandika.
Mimi sasa ntakuuliza swali...-
Why did you write this review..?
You have a blog na umepost kule, je why did come am post huku pia?
-
Katika mfano wako ukanipa mfano huu wa uandishi wa -blog-
Ningekuwa natumia computer ningekuhighlitia uone, whenever they mention the figures, lazima waoneshe wamezitoa wapi,
Mimi nimekupostia hapa the article nzima. Embu soma vizuri hiyo article alaf anangalia ya kwako, what is it missing.
.-Apple shares slid more than 3 percent Monday
morning. It was the biggest drag on the S&P
500 and Nasdaq composite indexes.
We hujaona hapo wanaonesha source ya info zao?
Au wewe ukisikia reference unafikiria nini? -
Kuzi list chini?
Hujaona pale kuna sehemu wanasema-
Kumbe wewe unazungumzia kusema nani kasema, mimi uliposema reference nilidhani unazungumzia academic reference yaani Author, Year of Publication, Title of Book, report, article or journal, place of publication, edition na publishser. haya yote yalifuata utarativu maalum yaani kama vile Havard referencing, AMA, APA, MLA n.k. Hii ndio referencing system ninayoilewa na ndio nilidhani kuwa hichi ndio unachomaanisha ndio maana nikakwambia Bloggers hawafanyi reference.
Mfano wa hizi:
AMA(American Medical Assoc.)
Reference List
Cusumano M. Technology Strategy and Management: The Apple-Samsung Lawsuits. Communications Of The ACM [serial online]. January 2013;56(1):28-31. Available from: Business Source Complete, Ipswich, MA. Accessed March 15, 2013.
APA(American Psychological Assoc.)
References
Cusumano, M. A. (2013). Technology Strategy and Management: The Apple-Samsung Lawsuits. Communications Of The ACM, 56(1), 28-31. doi:10.1145/2398356.2398366
Chicago/Turabian: Author-DateReference List
Cusumano, Michael A. 2013. "Technology Strategy and Management: The Apple-Samsung Lawsuits." Communications Of The ACM 56, no. 1: 28-31. Business Source Complete, EBSCOhost (accessed March 15, 2013).
Chicago/Turabian: HumanitiesBibliography
Cusumano, Michael A. "Technology Strategy and Management: The Apple-Samsung Lawsuits." Communications Of The ACM 56, no. 1 (January 2013): 28-31.Business Source Complete, EBSCOhost (accessed March 15, 2013).
HarvardReferences
Cusumano, MA 2013, 'Technology Strategy and Management: The Apple-Samsung Lawsuits', Communications Of The ACM, 56, 1, pp. 28-31, Business Source Complete, EBSCOhost, viewed 15 March 2013.
MLA(Modern Language Assoc.)
Works Cited
Cusumano, Michael A. "Technology Strategy And Management: The Apple-Samsung Lawsuits." Communications Of The ACM 56.1 (2013): 28-31. Business Source Complete. Web. 15 Mar. 2013.
Vancouver/ICMJEReferences
Cusumano M. Technology Strategy and Management: The Apple-Samsung Lawsuits. Communications Of The ACM [serial on the Internet]. (2013, Jan), [cited March 15, 2013]; 56(1): 28-31. Available from: Business Source Complete.
poa mkuu naona tumeelewana atlast.Kumbe wewe unazungumzia kusema nani kasema, mimi uliposema reference nilidhani unazungumzia academic reference yaani Author, Year of Publication, Title of Book, report, article or journal, place of publication, edition na publishser. haya yote yalifuata utarativu maalum yaani kama vile Havard referencing, AMA, APA, MLA n.k. Hii ndio referencing system ninayoilewa na ndio nilidhani kuwa hichi ndio unachomaanisha ndio maana nikakwambia Bloggers hawafanyi reference.
Enhee hizi figures zako we umezipata wapi?-
Imetulia hii......big up mkuu......nasubiri part 2 nione udhaifu wa IPhone......usikawie sana kuuleta........
binafsi nadhani kwa upande wa mobile phones iPhone ndio the best in terms of stability, performance na Reliability 'very reliable for corporate mobile phone usage' (text messaging, MMS, email, Internet access,business applications, gaming and photography), kwa upande wa Tablets nadhani Samsung especially GALAXY Note 10.1 inafanya vizuri in additional computing Tasks..
sababu 50 kwa nini galaxy s3 is better than i phone 5
50 Reasons Why Galaxy S3 Is Better Than iPhone 5 - YouTube
poa mkuu naona tumeelewana atlast.
Enhee hizi figures zako we umezipata wapi?-
Wacha niweke mambo kwa kifupi:
1. Nilipozitoa mimi sio muhimu, muhimu zimetengenezwa nani, na jibu liko kwenye table yenyewe Internation Data Corporation (IDC)
2. Nilisema awali kama una matumizi nazo muhimu ni inbox tutaangalia ni vipi tusaidiane,
3. Laa kama for the sake of challenge, si jukumu langu kukulazima kuamini data hizo. Let's just move on. Sioni sababu ya kui-drag hii kwa sababu haitaleta manufaa yoyote kati yetu.
4. Naamini kila mmoja kati yetu kajifunza mambo kadhaa katika mjadala huu.
Data mbona source imeandikwa IDC, angalia chini kulia, IDC ni International Data Corporation wao ni global marketing researchers katika masula ya IT, Telecom consumer technology markets.
Au kaka ulitaka niweke full reference (citation na reference list/bibliography)? This is more journalistic than academic.
Wacha niweke mambo kwa kifupi:
1. Nilipozitoa mimi sio muhimu, muhimu zimetengenezwa nani, na jibu liko kwenye table yenyewe Internation Data Corporation (IDC)
2. Nilisema awali kama una matumizi nazo muhimu ni inbox tutaangalia ni vipi tusaidiane,
3. Laa kama for the sake of challenge, si jukumu langu kukulazima kuamini data hizo. Let's just move on. Sioni sababu ya kui-drag hii kwa sababu haitaleta manufaa yoyote kati yetu.
4. Naamini kila mmoja kati yetu kajifunza mambo kadhaa katika mjadala huu.
I visited IDC website, kuna so much info, nimeshindwa kupata the figures za kwako ulizo post.(inawezekana ushamba wangu pia)
Ila mimi nashindwa kukuelewa, wewe you have a blog, na am sure hii kitu umeipost kwenye blog yako, n yet ukaja kuipost hapa tena ukaanzishia na thread
Topic:" Samsung na Galaxy S dhidi ya Apple na iPhone"
Why come here? We anzishia a thread kwenye hii forum? I know you know whats a forum..
Umesema unadhani watu tumejifunza mambo kadhaa kweye post yako, bt wengine bado tunataka kujifunza zaidi, sasa tukikuuliza maswali unasema tuku inbox, for what?
Hii ni open forum, tunavyouliza maswali, kudiscuss na majibu yanapotolewa watu wengi wanapata kujifunza. Ila unapotaka tukuinbox inakuwa uchoyo wa info kwa the rest of 99,998+ registered members ambao would have gained more a thing or two.
Advice.
Kama umezoea kuandika kwenye Blogs where people dont get to question what you have written, na kama umezoea kupata likes na good comments for your articles THEN HUKU SIO KWENYEWE rudi KWENYE BLOGS.

Ila mimi nashindwa kukuelewa, wewe you have a blog, na am sure hii kitu umeipost kwenye blog yako, n yet ukaja kuipost hapa tena ukaanzishia na thread Topic:" Samsung na Galaxy S dhidi ya Apple na iPhone"
Why come here? We anzishia a thread kwenye hii forum? I know you know whats a forum..
Umesema unadhani watu tumejifunza mambo kadhaa kweye post yako, bt wengine bado tunataka kujifunza zaidi, sasa tukikuuliza maswali unasema tuku inbox, for what?
Hii ni open forum, tunavyouliza maswali, kudiscuss na majibu yanapotolewa watu wengi wanapata kujifunza. Ila unapotaka tukuinbox inakuwa uchoyo wa info kwa the rest of 99,998+ registered members ambao would have gained more a thing or two.
Advice. Kama umezoea kuandika kwenye Blogs where people dont get to question what you have written, na kama umezoea kupata likes na good comments for your articles THEN HUKU SIO KWENYEWE rudi KWENYE BLOGS.
Millah
Pole sana kwa kushindwa kupata data, ndio maana nilikwambia uni-inbox kwa vile uwezekano wa hilo nilikuwa naufahamu kabla hata wewe kuja kusema hivyo. Sababu Sites na databases kama vile IDC, Academic Mintel, EBSCO Premier, ABI/Inform Global sio kila data, article au report ni bure. Nyingine wana restrict kwa ajili ya members tu.-
Binafsi nilidhani kungangania kwako kutaka data hizo ni kwa sababu una matumizi nazo muhimu (kama vile utafiti au masomo) ndio maana nikakwambia uni-inbox, kwa hiyo sio uchoyo kama ulivyodhani wewe, ni vyema kama jambo hukuelewa mantiki yake basi uulize kuliko kufanya dhana.-
Ila kwa sasa, kwa vile nimeelewa kwamba huna matumizi nazo yoyote hizo data bali una ajenda yako mwenyewe basi huna tena haja ya kuni-inbox.-
Pia ahsante sana kwa ushauri wako mzuri, isipokuwa ushauri huo hauko relevant kwa sababu hii:
Pamoja na dhana yako isiyo sahihi kwamba mimi nimezoea kuandika tu kwenye blogs, lakini zaidi ya hapo ni kwamba Blogs na Forums ni -aina moja ya sehemu za kushare information, kwa pamoja zinaitwa electronic word of mouth (e-WOM), kwa hiyo kuchukua yanayowekwa kwenye blog ukaweka kwenye forum si kioja. Hoja hii pia inajibu swali lako hili ninakunukuu Why come here? We anzishia a thread kwenye hii forum? I know you know whats a forum. Na hapa ndipo ulipojivua nguo na nimeielewa ajenda yako ya mjadala wote huu, si kwamba ulikuwa unataka data yoyote.-
We both need to learn to debate/discuss in a nice way kwa sababu hujui mwenzako ana nini, we need to never under estimate each other, this is the only way we can co-exist in social media and e-WOM spaces in positive and beneficial way. However try to challenge sometimes kunaweza kumtoa paka mkobani. Naomba uelewe kwa sasa e-WOM (iwe blogging au forum participation) kwangu mimi ni "learning, sharing and having fun" nothing more.
I wish you good luck.
Millah
Mi naona you are beating around the bush, unazunguka zunguka tu, unaanza kuwa defensive sanaaaa, tangu mwanzo nimekuona uko defensive sana, mara unaanza kusema We both need to learn to debate/discuss in a nice way kwa sababu hujui mwenzako ana nini, we need to never under estimate each other, mambo yote haya unasema wewe wakati -mi nilikuuliza just a curious question tu na wewe ungenijibu na mimi ningeridhika tusingefika huku.
Ni mekuuliza vizuri, kwanini umekuja kupost huku JF? Bado sijapata jibu hili, manake nataka nikuelewe, kwamba wewe umetoka hukoo ukaja hapa kupost ili iweje? Unataka kutueleimisha? Unataka kutujuza? Kushare the this little info na sisi? Au ulitaka kuja kuboast kama unajua ?-
Ulitaka ukija hapa na ukapost info zako we all take it at face value, ulitaka tuamini tu kwasababu wewe ndo umeandika, Like i said this is Jamii Forum Home of Great thinkers. Watu lazima tuulize critical questions. Tunachambua ulichoandika, ili watu wote tunufaike at the end of the day, kama unatulisha tango pori tutajua at the end of the day, kama unatulisha nondo za ukweli tutajua pia na tutakushukuru, -
Hizi data ni za uongo nini? Mbona hasemi zimetoka wapi ili tukahakiki!
I like this one!!! Lete za kweli!Hizi data ni za uongo nini? Mbona hasemi zimetoka wapi ili tukahakiki!
Millah
Mi naona you are beating around the bush, unazunguka zunguka tu, unaanza kuwa defensive sanaaaa, tangu mwanzo nimekuona uko defensive sana, mara unaanza kusema We both need to learn to debate/discuss in a nice way kwa sababu hujui mwenzako ana nini, we need to never under estimate each other, mambo yote haya unasema wewe wakati -mi nilikuuliza just a curious question tu na wewe ungenijibu na mimi ningeridhika tusingefika huku.
Ni mekuuliza vizuri, kwanini umekuja kupost huku JF? Bado sijapata jibu hili, manake nataka nikuelewe, kwamba wewe umetoka hukoo ukaja hapa kupost ili iweje? Unataka kutueleimisha? Unataka kutujuza? Kushare the this little info na sisi? Au ulitaka kuja kuboast kama unajua ?-
Ulitaka ukija hapa na ukapost info zako we all take it at face value, ulitaka tuamini tu kwasababu wewe ndo umeandika, Like i said this is Jamii Forum Home of Great thinkers. Watu lazima tuulize critical questions. Tunachambua ulichoandika, ili watu wote tunufaike at the end of the day, kama unatulisha tango pori tutajua at the end of the day, kama unatulisha nondo za ukweli tutajua pia na tutakushukuru, -
Kama una-doubt fanya research lete data za kweli tutakubaliana na wewe kama sahihi au tutapinga kama si sahihi na kueleza sababu, tatizo liko wapi?Hata mimi nashindwa kuelewa... Sitaki kuhisi kama si zaukweli lakini kila tunavyoendelea na pia majibu yake yananifanye nianze kumdoubt.
Hili swala dogo sana lakini kalikuza kuwa kubwa...
Ngoja tumsubirie