Samsung m51

Samsung m51

project planner

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2019
Posts
1,170
Reaction score
1,560
wakuu natumaini ni wazima naoma mwenye kujua wapi nitapata Samsung m51 maana naona madukani hazipo hizi simu na bei yake ikoje
 
wakuu natumaini ni wazima naoma mwenye kujua wapi nitapata Samsung m51 maana naona madukani hazipo hizi simu na bei yake ikoje
Simu za India na masoko maalum ukizikuta Tz ujue mtu tu ame import.

Bei yake ni Around 750K
 
Hivi hawana high life niwaaminifu kwenye maswala ya hela kutuma na kupokea simu mikoani nataka kuwatumia ila sijawahi kuwatumia hela ili nitumiwe simu
 
Hivi hawana high life niwaaminifu kwenye maswala ya hela kutuma na kupokea simu mikoani nataka kuwatumia ila sijawahi kuwatumia hela ili nitumiwe simu
Ni waaminifu, huyo jamaa Ana physical address pale upanga, Sema bei Zake tu ujiandae kisaikolojia.
 
Hii simu uliipata? Kama ndio wapi? Kwa bei gani?
 
Back
Top Bottom