Wewe umeinunua tv iraq unategemea nini tena umeinunua ramad!!
Mwe!! Bavicha hata huku mko?
mimi ya kwangu ni inch 42 mtoto wangu kaipiga kwenye kioo imevunjika ila ilikua na garantii ya 2yrs wamekuja kunitilia lcd nyengine ila ni hapa eorop mambo hayo bongo sifikiriii
Duh!
JF noma!
Kule waliko jitangazia jimbo lao kule alikolizwa Mmarekani mpaka akatumia mabomu ya sumu.
Yani unanunua TV Falujha kwa Ayatolah Muktada Alsadir ?
Wakuu kuweni na heshima, mtu kaleta issue technical, ninyi mnaingiza siasa mara sijui bavicha. Haya masuala ya siasa pelekeaneni huko kunakohusika. Hili ni jukwaa la tech, issue zinazoongelewa hapa ni tech wise. Hili jukwaa lina heshima yake ya kipekee, nayo si nyingine bali kutoa misaada. Msituharibie jukwaa humu.

na umesahau au alisahau kukwambia dada ako ndio tulikuwa pamoja siku hiyoumesahau kusema wakati anavunja kioo hiko cha 42''mkeo/mumeo alikuwa na ana chart kwenye laptop yake ya apple huku muda huo ukiwa downing street ukiwa na hummer lako unaendesha ukitoka kukamilisha taratibu za kununua nyumba london.,