NANSOR WA RYMEZ
Member
- Sep 12, 2020
- 33
- 29
Jaman wadau nina laptop yangu juzi kati imesumbua haingizi chaji kabisa japo ile japo charger ni nzima kbs
Hata nikitoa battery haiwakii tuKama ukitoa battery Bado inawaka basi Mimi lilishanitokea tatizo kama Hilo nikaambiwa ni connector imekufa. Jamaa aliitengenza.. Tatizo litakuwa ni kuipata spare part ya hicho kilichokufa
Kama ukitoa battery Bado inawaka basi Mimi lilishanitokea tatizo kama Hilo nikaambiwa ni connector imekufa. Jamaa aliitengenza.. Tatizo litakuwa ni kuipata spare part ya hicho kilichokufa




Ndio.Kuna laptop ya samsung kumbe![]()
MfanoKuna laptop ya samsung kumbe![]()