Bigteacher
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 457
- 191
Fanya manual updateWakuu kuna kitu kinanikanganya sana yaan nimepata kuona simu ya jamaa yangu sumsung j7prime ikiwa imepata update ya 7.0 naugat lakini yangu nashangaa hadi leo haijaniletea simu yangu ina official OS kwa wajuzi hivi hii inakuwa ni kwasababu gani?
Nimetest inaniambia hii ni latest versionFanya manual update
Mkuu awamu yaan wamaanisha mtu moja moja au kwa regions au?Update zinatoka kwa awamu
Hiyo uliyofanya ni automatic update..nimesema maNual...utumie odin kuflash latest firmwareNimetest inaniambia hii ni latest version
Yaan wamaanisha niweke custom rom?Hiyo uliyofanya ni automatic update..nimesema maNual...utumie odin kuflash latest firmware
no!! anamaanisha unadownload official latest firmware iyo nougat 7.0 ambayo ni kwa ajili ya simu yako then download odin latest version then rudi jukwaani upate maelezo zaidi namna ya kuflash hio rom!!Yaan wamaanisha niweke custom rom?
Okno!! anamaanisha unadownload official latest firmware iyo nougat 7.0 ambayo ni kwa ajili ya simu yako then download odin latest version then rudi jukwaani upate maelezo zaidi namna ya kuflash hio rom!!
Kwa regions mfano East Afrika,AsiaMkuu awamu yaan wamaanisha mtu moja moja au kwa regions au?
Mkuu mie pia nilikuwa na uelewa huo ndo maana nilipomuona jamaa yangu katika region moja imemletea halafu kwangu hamna nikakang'anyikiwaKwa regions mfano East Afrika,Asia
Huenda simu ya jamaa yako na hiyo yako ni model namba tofauti eg g610f, g610M etc hivyo OTA upgrade Os inaweza kuwa kwa muda tofauti. Simple solution ni hiyo waliokupa waliotangulia MANUAL LATEST FIRMWARE FLASHING VIA LATEST ODIN 3.12.7Mkuu mie pia nilikuwa na uelewa huo ndo maana nilipomuona jamaa yangu katika region moja imemletea halafu kwangu hamna nikakang'anyikiwa
Ila model ni moja mkuu zote sm-g610fHuenda simu ya jamaa yako na hiyo yako ni model namba tofauti eg g610f, g610M etc hivyo OTA upgrade Os inaweza kuwa kwa muda tofauti. Simple solution ni hiyo waliokupa waliotangulia MANUAL LATEST FIRMWARE FLASHING VIA LATEST ODIN 3.12.7
Ila model ni moja mkuu zote sm-g610fHuenda simu ya jamaa yako na hiyo yako ni model namba tofauti eg g610f, g610M etc hivyo OTA upgrade Os inaweza kuwa kwa muda tofauti. Simple solution ni hiyo waliokupa waliotangulia MANUAL LATEST FIRMWARE FLASHING VIA LATEST ODIN 3.12.7
Duu.Ila model ni moja mkuu zote sm-g610f