Bigteacher
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 457
- 191
Wakuu kuna kitu kinanikanganya sana yaan nimepata kuona simu ya jamaa yangu sumsung j7prime ikiwa imepata update ya 7.0 naugat lakini yangu nashangaa hadi leo haijaniletea simu yangu ina official OS kwa wajuzi hivi hii inakuwa ni kwasababu gani?