Samsung J7prime updates to android 7.0

Bigteacher

JF-Expert Member
Jan 31, 2014
457
191
Wakuu kuna kitu kinanikanganya sana yaan nimepata kuona simu ya jamaa yangu sumsung j7prime ikiwa imepata update ya 7.0 naugat lakini yangu nashangaa hadi leo haijaniletea simu yangu ina official OS kwa wajuzi hivi hii inakuwa ni kwasababu gani?
 
Fanya manual update
 
Yaan wamaanisha niweke custom rom?
no!! anamaanisha unadownload official latest firmware iyo nougat 7.0 ambayo ni kwa ajili ya simu yako then download odin latest version then rudi jukwaani upate maelezo zaidi namna ya kuflash hio rom!!
 
Ok
 
Mkuu mie pia nilikuwa na uelewa huo ndo maana nilipomuona jamaa yangu katika region moja imemletea halafu kwangu hamna nikakang'anyikiwa
Huenda simu ya jamaa yako na hiyo yako ni model namba tofauti eg g610f, g610M etc hivyo OTA upgrade Os inaweza kuwa kwa muda tofauti. Simple solution ni hiyo waliokupa waliotangulia MANUAL LATEST FIRMWARE FLASHING VIA LATEST ODIN 3.12.7
 
Ila model ni moja mkuu zote sm-g610f
 
Hata Samsung J7 prime yangu imepata OTA update Jumapili tarehe 10 mwezi huu.Kwa hiyo nadhani inatokea kwa zamu sio simu zote kwa wakati mmoja.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom