Habari wakuu, naomba msaada wa setting ya simu tajwa Samsung j4 upande wa gallery, nikipiga picha au video baada ya muda fulani sizipati zimefutika, hata kwenye file manager hazionekani, naombeni msaada.