Nipo tabata ukitaka kweli tunaonana na unaiona simu yenyewe, sio ya wizi bwana simu ni mpya tu ya demu mmoja jirani yangu kuhusu lisiti sijamuuliza ila inaweza ikawepo ila sina uhakika.
Mm me na mwenye simu ni ke
Uliza swali lengine
Mwambie kuna mtu ana mia hamsin kama yupo tayar namba hyo 0675636863
Nyengine hii hapa inauzwa bei 200,000/=
Upo chini sana ongeza hela kama kweli unaitaka,Mwambie kuna mtu ana mia hamsin kama yupo tayar namba hyo 0675636863
Ww kama huna hela tulia, j2 iuzwe 150 j1 itauzwa sh ngap? ukitaka bei hizo nunua tecno au uhawei samsung huziweziKama imeshindkana bhas mkuu ila najua mteja wa hyo bei kupata huwez hasa ikiwa cm ipo mikonon mwa mtu.....sema ww unataka cha juu... .
Unaonaje na hili tangazo lingekomea huko huko wasap?Njoo whatsap utapata picha na bei
Mbona hakuna tatizo mkuu, shida nini hadi uongee maneno yote hayo? mbona kushindwana bei kwenye biashara ni vitu vya kawaidaPoa hapa nina note 4 nilinunua kwa teja mwaka jana cema ujue katka maisha vitu haramu ndo vna dil kama una bisha bas utasubir kua tajir........we uza hyo bei ufanye mambo mengne.....
Tatzo ww n dalal ndo mana.....
Mngese kweli nimekulazimisha kununua? Mpuuzi mkubwa wewe ukiwa tapeli unahisi wote matapeli.Hiyo simu ni ya wizi ndio maana unaita watu wasapp uwatapeli?watu wa arusha ni wa ajabu ajabu sana,wezi na matapeli,unalazima ufuatwe wasapp ili iweje?ili uwaibie watu?alafu unajidai mkali,we huuzi simu kuna kitu kingine unauza kwa Avatar hyo,we tangaza biashara zote na bei zake hapahapa utapata wateja wa biashara zako zote mbili!
Halafu uwe na heshima
Linamo
Mngese kweli nimekulazimisha kununua? Mpuuzi mkubwa wewe ukiwa tapeli unahisi wote matapeli.
Linamo
Wakati naweka hilo tangazo sikuwa na access ya kuweka hizo picha. Na nimeshaziweka hizo habari za utapeli zimekujaje. Fatilia thread zangu nyingi humu nimeshauza vitu vingi Sana na wala hutaona malalamiko.Linamo nisamehe, was just kidding.
BTW naomba nitoe advise, JF ni jukwaa kubwa linalojitosheleza, tumekuwa tukilalamika juu ya watu kuleta matangazo nusu nusu halafu wanasema twende PM, whatsapp au piga namba flan ili upate details zaidi.
Na malalamiko haya yanakuja na uzoefu kwa sababu utapeli mwingi unaanza na njia hizi, kama umeamua kuweka tangazo hapa kwa nini usiweke bei na picha?
Watu wana mambo ya kijinga sana, kuna mwengine analazimisha bei anayotaka yeye kisa kazoea kununua masimu ya wiziMngese kweli nimekulazimisha kununua? Mpuuzi mkubwa wewe ukiwa tapeli unahisi wote matapeli.
Linamo
Hawajielewi. Simu ya laki 3 dukani anataka auziwe laki moja na nusu halafu analazimisha. Wakiuziwa za wizi ndo watapata akili.Watu wana mambo ya kijinga sana, kuna mwengine analazimisha bei anayotaka yeye kisa kazoea kununua masimu ya wizi
Sasa mtu simu kapora ataacha kuuza 150?
Sasa ngoja siku wammue mtu wachukue simu yake alafu ukamatwe nayo ndio utajua madhara ya kununua simu kwa mateja