Donpela JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 2,040 Reaction score 592 Dec 13, 2016 #1 Habari wadau, Nauza samsung J7 16 GB Bei Tsh 375,000 Tu - 0787 408180 Ipo dar posta mpya Simu inakuja na charger tu. Clean white..
Habari wadau, Nauza samsung J7 16 GB Bei Tsh 375,000 Tu - 0787 408180 Ipo dar posta mpya Simu inakuja na charger tu. Clean white..
C Chagga King JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 1,931 Reaction score 1,178 Dec 14, 2016 #2 ...nyeusi hamna
C Chagga King JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 1,931 Reaction score 1,178 Dec 14, 2016 #3 ...kama ipo tufanye nyeusi tufanye biashara, isiwe copy lakini
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,417 Reaction score 82,370 Dec 14, 2016 #4 Chagga King said: ...nyeusi hamna Click to expand... Ana kweli watu hatufanani. Mimi simu nyeusi huwa hazinibariki kabisa na simu zangu ni nyeupe always. Ichukue simu hiyo mkuu,nzuri na bei yake nzuri. Jaribu simu nyeupe uone raha yake,hutojuta.
Chagga King said: ...nyeusi hamna Click to expand... Ana kweli watu hatufanani. Mimi simu nyeusi huwa hazinibariki kabisa na simu zangu ni nyeupe always. Ichukue simu hiyo mkuu,nzuri na bei yake nzuri. Jaribu simu nyeupe uone raha yake,hutojuta.
C Chagga King JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 1,931 Reaction score 1,178 Dec 14, 2016 #5 ...dah, anyway subiri aje huyu kwakuwa namnunulia mbeibe si mbaya ila rangi nyeupe mi siwezi tumia coz naona imekaa kike kike
...dah, anyway subiri aje huyu kwakuwa namnunulia mbeibe si mbaya ila rangi nyeupe mi siwezi tumia coz naona imekaa kike kike
C Chagga King JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 1,931 Reaction score 1,178 Dec 14, 2016 #6 ....nimeona contacts nitam call Nifah said: Ana kweli watu hatufanani. Mimi simu nyeusi huwa hazinibariki kabisa na simu zangu ni nyeupe always. Ichukue simu hiyo mkuu,nzuri na bei yake nzuri. Jaribu simu nyeupe uone raha yake,hutojuta. Click to expand...
....nimeona contacts nitam call Nifah said: Ana kweli watu hatufanani. Mimi simu nyeusi huwa hazinibariki kabisa na simu zangu ni nyeupe always. Ichukue simu hiyo mkuu,nzuri na bei yake nzuri. Jaribu simu nyeupe uone raha yake,hutojuta. Click to expand...
Donpela JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 2,040 Reaction score 592 Dec 15, 2016 Thread starter #7 Chagga King said: ...kama ipo tufanye nyeusi tufanye biashara, isiwe copy lakini Click to expand... samahani sina..nilinunua nyeupe..am not a dealer..
Chagga King said: ...kama ipo tufanye nyeusi tufanye biashara, isiwe copy lakini Click to expand... samahani sina..nilinunua nyeupe..am not a dealer..