Samsung ipi ninunue

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Heshima kwenu wana jf, jamani mie ni mwanakjiji nisiejua kitu orignal au feki, lkn nahitaji cm nzuri yenye os ya android, sijui duka gani mwanza au dar nitapata cm hiyo nisingependa nilanguliwe kwa kununua feki kwani hela yenyewe nimetafuta mwaka mzima. Naomba ushauri na picha ya cm yenyewe.
 
mwanakijiji unaejua os/android,utakosaje kujua simu feki bwana????
 
Nenda kwa mawakala wa Sumsang wapo Posta, Mlimani city wana cmu original unapewa guarentee ya 2yrs na unapata verification ya msg kwamba product yao ni original. Ila changamoto ya simu za samsung esp smartphone ni charge otherwise zipo poa sana hutajuta kununua, ghafla utakuwa mrevi wa cmu pindi uipatapo kwani most of the time utakuwa macho yapo kwenye upofya pofya na kuenjoy so much application ie Nimbuzz, viber, WhatsApp, facebook, maps and many more.
 



MIMI NINAYO SAMSUNG GALAXY GT 1900 iko katika hali nzuri piga simu 0712652110
 
Akili kumkichwa,we pita pale samora au ohio zipo za kumwaga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…