Mzurulaji
JF-Expert Member
- Sep 25, 2021
- 292
- 691
Msaada Simu yangu Samsung Grand prime pro.
Ukiiwasha kama iko asilimi chini ya 70% haiwaki bila kuiweka kwenye charge ndipo uiwashe. Na hata ikikosea umebonyeza batani ya kuzima kwa kutaka kuiweka Lock haiwaki bila kuweka kwenye charge ndipo itadisplay. Ila ikiwa asilimia 100% -70% unaitumia vizuri bila shida.
Tatizo nini wakuu???