Samsung grand ipo sokoni

unaa boksi lake,risiti yakeEFD ya duka ulilonunulia na any related isije ikawa ni ya hawa waliopotea nikawa sehemu yaa ushahidi
kama vipo Kula fisi tufunge duka
Fisi ndo nini!
 
Kila kitu kipo na nitakupa kama ukitaka hilo wala usihofu.
 
unaa boksi lake,risiti yakeEFD ya duka ulilonunulia na any related isije ikawa ni ya hawa waliopotea nikawa sehemu yaa ushahidi
kama vipo Kula fisi tufunge duka
Kaz kwako!
Ubishi staki!
 
WA BONGO BANA UTASHANGAA SIKU SIMU IKISHA UZIKA NDIO WANAANZA KUKUSUMBUA""ile simu bado ipo"" ULIILOGA ISINUNULIWE?
 
NAMBA HII PIA UNAMPATA
CAPT. MWENYE SIMU
TAJWA
0767101826
Bado iko kwenye friji haiozi.
 
unaa boksi lake,risiti yakeEFD ya duka ulilonunulia na any related isije ikawa ni ya hawa waliopotea nikawa sehemu yaa ushahidi
kama vipo Kula fisi tufunge duka
Ha ha ha umenikumbusha mbali na kiswahili cha fisi...eti kula fisi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…