Samsung grand ipo sokoni

Samsung grand ipo sokoni

Simu za Grand prime za hovyo sana. Niitumia miezi 3 shida kuu IPO kwenye storage. Zikibaki Mb 300 kushuka inasema sim iko full na siwez kuangalia picha au. Video
 
200k kama ipo karibu. Kama pesa yako hafifu tulia ndugu.
Maongezi njoo pm
Mbwembwe acha
 
Simu za Grand prime za hovyo sana. Niitumia miezi 3 shida kuu IPO kwenye storage. Zikibaki Mb 300 kushuka inasema sim iko full na siwez kuangalia picha au. Video
Hayo manenotu!!

Maana hata misemo ipo.!!

""Ukiona cha nini wenzako wanawaza watakipata wapi!!
 
Kuna WAUNGWANA wengi sana humu JF
Wachache ndio vimbele front

Muungwana habwabwaji ovyo
Huzungumzia chumbani.
Walionifuatwa PM tukaongea nawapa kongole sana.

KE na ME
GOD bless!!!
 
Waje pm tutaongea ila wasibwabwaje huku kweny platform!
Wewe achana na hao wapiga tarimba, biashara yeyote vikwazo haikosi. Mtu anakutana na maneno mabovu kuuza mzigo wa milioni ndo sembuse hiko. Yote vumilia tu
 
It's weekend
Mnada wa simu BOMBA ya GALAXY GRAND PRIME PLUS unaendelea.
Karibuni
 
Simu za Grand prime za hovyo sana. Niitumia miezi 3 shida kuu IPO kwenye storage. Zikibaki Mb 300 kushuka inasema sim iko full na siwez kuangalia picha au. Video
Boss sitaki kuamin mtu mzito kama ww hukuweza nunua memory card
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom