Samsung galaxy tablet, inauzwa

Samsung galaxy tablet, inauzwa

lwampel

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
249
Reaction score
55
Nauza samsung tablet, (SM - T211). Haijatumika sana, ila kioo chake kama kinavyoonekana pichani namba 3 ikiwa imezimwa, internal memory ni 16GB. Full specs angalia hapa GALAXY Tab 3 7" - TECH SPECS | SAMSUNG
bei/ price Tshs 500,000/= laki tano.
 
Attachments

  • Photo1059.jpg
    Photo1059.jpg
    30.8 KB · Views: 361
  • Samsung sm _ T211.jpg
    Samsung sm _ T211.jpg
    24.8 KB · Views: 329
  • Photo1060.jpg
    Photo1060.jpg
    26.5 KB · Views: 322
  • SM-T2110ZWLTPA-25098-0.jpg
    SM-T2110ZWLTPA-25098-0.jpg
    6.8 KB · Views: 348
500000? Kioo kimepasuka? Bei ya kioo 70000
Mpya 550000 tena haijatumika. Hapo fair chukua 300000 otherwise bora uendelee kutumia mwenyewe. Kama ulivyosema. Ukibahatika kumjua hajui mambo haya kila la heri.
 
Huo ni mtazamo wako ndugu, kwa bei hiyo unayosema wewe huwezi kupata mpya labda kama unazungumzia tablet za kichina hapo sawa.
 
Hizo Samsung Galaxy Tab 3 7.0 mpya zinapatikana kwa laki 5,,weka screen mpya upewe 350,000/= cash fasta jioni hii..
BAsi nenda kanunue dukani kwani shida iko wapi?,
 
Hata kama ninayo lakin siwezi nunua kitu kibovu kwa 550,000 wakati dukani ni 500000.
 
sio kwamba tunashindwa kuagiza mpya huku kwa bei ya $275 = 478,000/= Tsh (boxed sealed) na full accessories + (expedited shipping). ni kwamba unasaidiwa tu hiyo yako used-mbovu ipate mteja uondoe mkosi..

2s1oljo.jpg

2q0lkhu.jpg
Nauza samsung tablet, (SM - T211). Haijatumika sana, ila kioo chake kama kinavyoonekana pichani namba 3 ikiwa imezimwa, internal memory ni 16GB. Full specs angalia hapa GALAXY Tab 3 7" - TECH SPECS | SAMSUNG
bei/ price Tshs 500,000/= laki tano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom