Samsung galaxy tab s haiwaki

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,239
Mwenye msaada wa tatizo hili. Tablet yangu samsung Galaxy Tab S haiwaki. Inaonyesha giza kwenye screen, ni tatizo gani na nifanyeje kulitatua
 
tab s huwa inamambo ya ajabu sana aisee ilichonifanyia sitasahau... bora hela yangu ningekunywa supu tuu niongeze vitamin mwilini. Ila mkuu jadibu kuiacha hadi idrain chaji yote then weka kwenye chaji ukiwasha itawaka bila khiyana
 
Planet, mafundi vipi wanaweza rekebisha tatizo hilo? umeshawahi uliza mafundi ni tatizo gani
 
Hizi simu zina matatizo aisee,mimi ninayo Samsung Galaxy tab A inaweza ika stop uwezi kufanya chochote na uku inawaka moja kwa moja mpaka chaji imalizike izime uiweke tena kwenye chaji hapo ndio inaludisha kumbukumbu unaabza kuitumia tena,na ni mpya nina miezi nayo kama sits ivi
 
Exactly, kama hivyo ya kwangu. mafundi vipi hawawezi kukorokochoa , maana wabongo watundu! Mimi nasema asia hamna kitu wanababaisha. Standard ni Ipad, iphone basi kwingine photocopy
 
Back
Top Bottom