Samsung galaxy tab 2 7.0 inches for sale

Samsung galaxy tab 2 7.0 inches for sale

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,716
Nauza pre owned tablet model hiyo hao,niliinunua Nedherland. Ina android version 4.0.4,memory 16GB.
Bei Ths.450K na maongezi ruksa!
 
Picha sio tatizo!Nipo ughaibuni ila nategemea kuja Bongo hivi karibuni!
 
Nauza pre owned tablet model hiyo hao,niliinunua Nedherland. Ina android version 4.0.4,memory 16GB.
Bei Ths.450K na maongezi ruksa!

Unafanya biashara halafu unatumia lugha ya kihuni Ths.450k ndiyo nini? Kama hjui umeshaishusha thamani bidhaa yako utaoneka umeiiba au unatafuta pesa za unga be serious na kitu unachofanya.
 
Huna lugha na mbinu za kibiashara,soko lako ni gumu
 
watu wengine bhana...bidhaa haijafika....we mwenye bidhaa hujafika,...hata kuweka picha hutaki..?
sasa hiyo biashara unafanya online?..we utakuwa ni tapeli tuu bila shaka..!!
 
watu wengine bhana...bidhaa haijafika....we mwenye bidhaa hujafika,...hata kuweka picha hutaki..?
sasa hiyo biashara unafanya online?..we utakuwa ni tapeli tuu bila shaka..!!


Oh mm tapeli,haya picha hiyo sema lingine!hapo niko airport nakuja Bongo.
 

Attachments

  • 1404401239134.jpg
    1404401239134.jpg
    41 KB · Views: 96

Similar Discussions

Back
Top Bottom