Samsung Galaxy SII inauzwa

1. kama imetoka korea why sasa ina lock ya voda? korea kuna voda?

2.s2 yenye ram 2gb ndio ipi hio?
 
Mkuu hizo specification zako hazieleweki kabsaaaaaa
 
Hata korea ipo

Kama.ilivyo airtel India

vodafone Tz.. Uk.. South afrika n.k
Korea hamna vodafone, ila simu za Samsung nyingi zinatoka korea.

Ni sawa na kununua Huwei ya Tigo, halafu badae useme Simu za Huwei zinatengenezwa Tanzania.

Vile wanavyofanya Tigo Tanzania hata vodafone wanafanya hivyo hivyo.

Kama siko sahihi wajuvi mtanisahihisha.
 
kwa mawaz yang uko sahih,
 
hahahaha madukwapa umezingua baba hyo sio s2 labda ni 2S hujageuza sim kweli?
 
Bila shaka unatumia tecno ww chief teh

hao wadau unaobishana nao ndio PHONEAHOLICS humu... ni kama computer na napster... nakuhakikishia wakishaanza kutia doubt hao wadau chief-mkwawa .. idawa labda mgeni humu jukwaani ndio atakuPM kutaka kufanya biashara.. next time usiwe conservative saaana kuwa open minded na kubali kurekebishwa "kukosea ipo m'baba"
 
Last edited by a moderator:

Aende kule Gadget & Tech forum ajicheki na majibu yake mepesiย…
Just admit it buddy that you have made a mistake
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ