Samsung galaxy s7 inauzwa...

Samsung galaxy s7 inauzwa...

Hili simu bomuuu ...ndo maana huyu anauza
Kaka ukienda kwenye account yangu utagundua hii simu ya sita nauza katika kipindi cha miezi mitatu... siuzii shida ila ni utaratibu wa familia yetu wa kutaka kwenda sambamba na kila toleo la samsung.. kwa mfano kwa sasa nahitaji s7 edge plus kabla sijaingia kwenye s8 mwezi September..
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Watu kama hawana faranga bana wanasumbua kweli,,
Mtu anauza simu,kama seriously unafika bei pakua mzigo,
Ila safi tu,mmenifanya nicheke asubuhi hii
 
Watu kama hawana faranga bana wanasumbua kweli,,
Mtu anauza simu,kama seriously unafika bei pakua mzigo,
Ila safi tu,mmenifanya nicheke asubuhi hii
Kweli mwana... sasa hivi sijibu tena meseji.. ukiona unaweza kumudu 750k chukua namba piga tuyajenge.. sishushi zaidi ya hapo.
 
Milimani city kuna kodi kubwa sana hapo ondoa 18% ya VAT
 
IMG-20170428-WA0011.jpg
IMG-20170428-WA0008.jpg
 
S6 edge plus shop 1.4m.. mkononi utauziwa si chini ya 750k kwa nzima.. chini ya hapo ikatae.
Acha kutia watu woga ili kutangaza biashara yako.
Kuna watu wanauza vitu kwa sababu wanashida. Mtaani tunaita "Kubwaga"
Juzi nimeuziwa PS4 zima na padi zake mbili full limekamilika kwa laki tatu na nusu.
Usiseme ikatae sema chini ya hapo ikague
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom