Samsung galaxy s7 inauzwa...

black chinese

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
1,148
1,228
Simu tajwa hapo juu, used in good condition, inauzwa kwa discount ya zaidi ya tshs. 800k..
Niliinunua Mlimani city mwezi wa tisa mwaka jana kwa tshs. 1750,000 na naiuza kwa 780k..
Ni water and dust resistance... kwa waliosoma shule za kayumba namaanisha unaweza kuogelea nayo bila kuharibika.
7869c31db31e21ee0839877784ecd317.jpg

Kwa wanaozielewa s7 tuwasiliane kwa 0687 089980... kwa picha na biashara.
Ram 4ghz.
Internal 32gb.
Ina support 4g.
Battery 3000mAh.
Camera noma.
Ina sehemu ya memory card wakati s6 haina.
 
Simu tajwa hapo juu, used in good condition, inauzwa kwa discount ya zaidi ya tshs. 800k..
Niliinunua Mlimani city mwezi wa tisa mwaka jana kwa tshs. 1750,000 na naiuza kwa 880k..
7869c31db31e21ee0839877784ecd317.jpg

Kwa wanaozielewa s7 tuwasiliane kwa 0687 089980... kwa picha na biashara.

Kaka naitaka ile pesa yangu haijafika huko
0786371108 nitafute hapa nikupe ofa yangu kama itakutekenya maskio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom