TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,763
- 1,834
Nauza Samsung Galaxy s6 edge
32 gb
16mp
Bei:550000 fixed price.
Location: Dar es salaam.
32 gb
16mp
Bei:550000 fixed price.
Location: Dar es salaam.
500 unachukua
Naona dogo ile milioni uliyoniuzia iphone 7 fake ishakwisha sasa umekuja na kopi nyingine ya s6 edge.. ndo maisha uliyochagua hayo ya utapeli.. muda si mrefu utapoteza bikira wewe.. nitakutia mikononi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poah kaka utanipata.Ni kweli sizijui.. ndo maana nina juhudi kubwa za kukutia mkononi ili unifundishe kaka.. naamini nikikupata nitazijua vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu hujatoa milioni kuwa muwazi asee s7 yenyewe umeniuzia bomu hadi saivi haitumiki imei imeandikwa Vienna badala ya Samsung s7 mtandao haipandishi imefungiwa in short.Naona dogo ile milioni uliyoniuzia iphone 7 fake ishakwisha sasa umekuja na kopi nyingine ya s6 edge.. ndo maisha uliyochagua hayo ya utapeli.. muda si mrefu utapoteza bikira wewe.. nitakutia mikononi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona dogo ile milioni uliyoniuzia iphone 7 fake ishakwisha sasa umekuja na kopi nyingine ya s6 edge.. ndo maisha uliyochagua hayo ya utapeli.. muda si mrefu utapoteza bikira wewe.. nitakutia mikononi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
S7 niliinunua 1.4m.. nikakuongeza na 380k.. jumla shilingi ngapi?.. na kama haisomi njoo nikuwekee namba ya siri ambayo wakati unanikimbia ulisahau kuniomba.Afu hujatoa milioni kuwa muwazi asee s7 yenyewe umeniuzia bomu hadi saivi haitumiki imei imeandikwa Vienna badala ya Samsung s7 mtandao haipandishi imefungiwa in short.
Ivi kaka black chinese ukiwa muongo uwe na kumbukumbu umetoa 380 ukaomba 10 ya guest nikakupa 370 nimepitia thread zako hyo simu ulikuwa unauza 700k na Simu umekaa nayo mdaa na inapungua bei kutokana na mdaa hilo hujui? Simu haisomi nikukute wapi nije??man to man??S7 niliinunua 1.4m.. nikakuongeza na 380k.. jumla shilingi ngapi?.. na kama haisomi njoo nikuwekee namba ya siri ambayo wakati unanikimbia ulisahau kuniomba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anachafua biashara.
Huyu jamaa mwenyewe namtafuta kanipa simu haisomi linewanajuana hawaa .wote wauza simu wanaharibiana biasharaa
Nakutafuta kweli asee huwezi nipa Simu haisomi afu unadanganya umeuziwa Simu fake. Aggrey duka gani?Kaka usidanganye umma unanitafuta.. njoo kariakoo hapa mtaa wa aggrey unipe simu na pesa zangu nikupe iphone 7+ yako ya gb 256..
Sent using Jamii Forums mobile app
Poah