kfudu
Member
- May 13, 2014
- 9
- 0
wakuu nina galaxy S5 hapa inatumia T-mobile ya US nauliza kwa yeyote anayeweza anaweza kuUnlock au kama unajua website au software Ya kuUnlock nitumie kwa mitandao ya Tanzania.
kama kuna mtu anweza tuwasiliana au Ni PM 0756669331
Thanks..............................................
kama kuna mtu anweza tuwasiliana au Ni PM 0756669331
Thanks..............................................