Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
Umeiwaisha mkuu ungechelewa chelewa kidogo.
Nafikiri jamaa alichokosea ni kule kusema tayari ipo sokoni, ila kama tulivyo wengi humu ndani kitu kikionekana online ni kweli hata kama siyo. Pitia hiyo address www.galaxyS5.com. Sidhani kama kuna yeyote humu anaweza kusema kwa hakika galaxy ijayo itakuwaje, nimetembelea website kadhaa kila mtu ana lake na wengine wameandika galaxy ijayo haitakuwa S series wanaelekea kwenye F series.
kaka ukitoa picha ya mwisho hizo picha za juu zinaonekana kama ile concept ya nokia apple aliyoiba wazi wazi na kuipatent.
na kama ni patent ya apple samsung hawez thubutu toa simu ya hivyo maana italeta tu mtafaruku tena.
angalia picha hii
Nini kilichopelekea Nokia wazembee mpaka concept yao ikawa patented na Apple? Au walikuwa busy wanawauzia kampuni Microsoft?
Huwezi ku-patent concept chief-mkwawa bali unacho-patent kinatakiwa kiwe ugunduzi na sio nadharia. Ikiwa unayosema ni sahihi kwamba Nokia waligundua halafu wakalala huo ni uzembe wao.
Pia inawezekana Nokia walipkuja na concept hiyo hawakuwa na ujanja wa kuifanya reality, hivyo wajanja wakawawahi.
siwezi isemea nokia kwanini hawajapatent ile ni kampuni kubwa wanajua wanachofanya, na patent za nokia hazijauzwa microsoft bali nokia amezilicence tu kwa bilion 2 usd kama vile apple alivomlipa nokia usd milion 600 na kutoa dola 6 hadi 8 kwa kila iphone sababu ya kulicence patent.
huyo apple mwenyewe toka alivyopatent ni miaka sasa hatujaona reality yoyote bora ya nokia ambae hajapatent kitu ambacho haoni kama ataweza kifanya
Nokia iko njiani kumilikiwa na Microsoft, biashara ya simu umeshawashinda zamani. hata investors walishajua kuwa Nokia kwenye simu is a brand of the past maana mara baada ya kutangazwa kuuza BBC wameripoti share za Microsoft zimeshuka bei (maana wamenunua kanjanja) na share za Nokia zimapanda bei maana wameuza bomu. Ninanukuua "Nokia will also license its patents and mapping services to Microsoft. Nokia shares jumped 35% on the news, whereas Microsoft's fell more than 5%" (http://www.bbc.co.uk/news/business-23940171)
Naomba tu kuuliza. Nilimsikia CEO wa Samsung akisema S5 itakua na 64-bits kama ya wakali Apple. Hivi Ram ya 3GB inaweza run mzigo wa 64-bits?