Mwenye kati ya hizo tajwa aweke bei hapa,nahitaji
Ipo samsung galaxy note 3 mpyaaa, bei tsh 1,150,000. Na samsung galaxy note 2 mpya tsh 750,000Mwenye kati ya hizo tajwa aweke bei hapa,nahitaji
Bei kubwa sana mie nna 300k
Mwenye kati ya hizo tajwa aweke bei hapa,nahitaji
Mkuu mi nna 550 cash...ila isiwe clone mkuu, hapa natumia clone na original naijua...kama upo serious tufanye bizz...nicheki kwa namba hii...0787812247
Unayo HKM?
Haha wabongo mna masihara kweli! Yan mtu anataka s4 original kwa 550!! Kaz kweli kweliMkuu mi nna 550 cash...ila isiwe clone mkuu, hapa natumia clone na original naijua...kama upo serious tufanye bizz...nicheki kwa namba hii...0787812247
Kama unataka clone ipo hapa, ndo inayofaa kwa hela yakoShusha hadi 400k kesho tufanye biznes