Simu tajwa hapo juu inauzwa kwa shs laki mbili na elf hamsini tu. Imetumika kwa mwezi mmoja. IPO name chaja yake, inafungua program zote ikiwemo play store bila wasiwasi. Contact 0714-408238.
Hii ni clone?,tuwekane wazi kwanza!
Ni clone ndio.
Ungesema tangu mwanzo
Title laki mbili na nusu ndani kwenye post umesema laki tatu na nusu. Je, wewe ni tapeli? jiamin na uongee ukweli. Kwamfano hapo inaonekana si mwaminifu yaani kigeugeu. MiaSimu tajwa hapo juu inauzwa kwa shs laki tatu na nusu. Imetumika kwa mwezi mmoja. IPO name chaja yake, inafungua program zote ikiwemo play store bila wasiwasi. Contact 0714-408238.
Jamani kwani clone ni aina gan?
not genuine... sio orijino but zinarandana
Asante ndugu kwa kunielewesha yan nilikuwa niinunue laki tatu na nusu kutoka kwa huyu bwana mkubwa tulikuwa tumekubaliana tuonane saa nane asante sana ndo maana jf ni kila kitu...ila pia kuna mtu alikuwa amenipa code hizi *#0*# zingenisaidia kujua kama ni original or hapana