Naomba msaada wa haraka, kupotea kwa baseband version and imei on galaxy s2

mossad 03

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Posts
523
Reaction score
448
wasalam wakuu,
simu yangu samsung gt19100 galaxy s2(korean version) imepoteza baseband yake na imei pia ...so haikamati mtandao...nimejaribu kuirestore kabla sijagundua tatizo ikawa bado haishiki mtandao...baada ya kugundua ts baseband and imei problem nimejaribu some wayz to recover ivyo vitu but it ddnt work out(ts a common way of recovering .niliikuta net)
naamini this iz the home of great thnker and i can get a help from u guyz...naomba yeyote mwenye soln anisaidie

c.c chief mkwawa and anybody who can try help on ths...mchango wako ni crucial sana guyz
 
kaka sijawah kuona permanent solution ya hio kitu tofauti na kutumia box zipo solution sema zinaweza kufaa au zisifae.

theory yake ipo hivi. kwenye simu kuna folder linaitwa efs hili folder ndio linahifadhi vitu kama imei, kwa kesi yako ina maana limecorupt au limefutika hivyo simu hailioni ndio maana inarespond hivyo.

kuna jamaa mmoja nilisoma xda alikua anaclaim simu huwa automatic zinafanya backup ya efs folder hivyo imei haijapotea bali ipo mahali imefanyiwa backup na unaweza kuirudisha kwa adb.

jaribu solution hizi.
1. tafuta software inaitwa efs profesional jaribu kubackup na kurestore efs nafkiri pia kuna option ya kuliformat. lengo ni kutoa imei toka nul ije 0 ili upate kwanza data halafu mengine yataendelea

2.tumia adb kama njia ya juu itakataa tumia comand hizi

utaandika

adb reboot nvbackup

then simu itafanya backup kisha utaandika tena

adb reboot nvrestore

good luck
 
iyo njia ya kutumia box iko vp mkuu?
 
iyo njia ya kutumia box iko vp mkuu?

box ni kifaa kinauzwa kwa ajili ya kuflash matatizo mengi ya simu kipo kama hivi.

Free-Shipping-octopus-box-for-LG-repair-and-flash-20-cables.jpg
 
cost yake ikoje?au anakuawa nacho fundi simu?b where can i get it apa dar or we mwenyewe unacho mkuu?

mimi sina ila mafundi wengi wanavyo cost yake inaweza kuwa sawa na galaxy s2.

hio nlioeka hapo juu ni octopus box kuna mabox mengi tu.

jaribi kutembelea mafundi wakubwa wa simu ulizia kuhusu hayo mabox
 
wasalam wakuu,
simu yangu samsung gt19100 galaxy s2(korean version) imepoteza baseband yake na imei pia ...so haikamati mtandao...nimejaribu kuirestore kabla sijagundua tatizo ikawa bado haishiki mtandao...baada ya kugundua ts baseband and imei problem nimejaribu some wayz to recover ivyo vitu but it ddnt work out(ts a common way of recovering .niliikuta net)
naamini this iz the home of great thnker and i can get a help from u guyz...naomba yeyote mwenye soln anisaidie

c.c chief mkwawa and anybody who can try help on ths...mchango wako ni crucial sana guyz

very simple mkuu ila nibonge la msala...mim pia s2yngu ilikua hvyo hvyo...nipm nikuelekeze mkuu
 
Kwa faida ya wengi ungeweka maelekezo hapa badala ya kuwasiliana wawili kwa pm
 
Pole mdau. Mimi nilipatwa na tatizo hilohilo ktl cm yangu tecno l3. Mambo yote hayo nilifanya na haiku respond. Niliipeleka kwa fundi mmoja mwenye asili ya india hapa mbeya. Alicheza nayo, na kunisihi nisiwe na haraka. Hatimae jana imepona. Toka Julai. Na ndo hii natumia. Huyu fundi yupo hapa Mbeya.
 
mimi sina ila mafundi wengi wanavyo cost yake inaweza kuwa sawa na galaxy s2.

hio nlioeka hapo juu ni octopus box kuna mabox mengi tu.

jaribi kutembelea mafundi wakubwa wa simu ulizia kuhusu hayo mabox

mkuu ili cmu ilipona after a week ikarudisha baseband na imei but baada ya dk chache tena ikapoteza na kurudi kuwa tatizo n afta a tym ikakaa sawa,saizi imepoteza tena,tatizo litakuwa nn n how can i make it stable!?
 
kama inakuja na kuondoka inamaana hujasolve kitu file litakuwa limecorupt. unarun custom rom au official?
 
i thnk itakuwa oficial coz cjawahi kuflash any rom in ths 4n,means iko kwny original firmware,what should i do mkuu
 
Back
Top Bottom