Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,268
- 44,399
Mkuu samahani, hizo clone ni mini au?? afu internal memory yake ni ngapi? na pia feature zote za kwenye s4 zinapatikana mfano air gastures?kwa wale wanaohitaji samsung galaxy s4 clone zinapatikana kwa bei tajwa zipo kwenye box na ni mpya.
zipo rangi nyeupe na very dark blue kama nyeusi
brief specs
zinatumia mediatek 1.3ghz dual core
ram 1gb
kioo inch 5
kwenye box utakuta earphone, charger inayotumia usb cable na usb cable yenyewe.
zinatumia line 1 na line yenyewe ni ya kukata.
contact 0715696962
Mkuu samahani, hizo clone ni mini au?? afu internal memory yake ni ngapi? na pia feature zote za kwenye s4 zinapatikana mfano air gastures?
Dah, haya mambo yanakuja kipindi ambacho sina ela. Mpaka mwisho wa mwaka utakuwa nazo?
Mkuuu, mimi nahitaj samsung galax s3 , unafanya beigani kama unazokwa wale wanaohitaji samsung galaxy s4 clone zinapatikana kwa bei tajwa zipo kwenye box na ni mpya. zipo rangi nyeupe na very dark blue kama nyeusi brief specs zinatumia mediatek 1.3ghz dual core ram 1gb kioo inch 5 kwenye box utakuta earphone, charger inayotumia usb cable na usb cable yenyewe. zinatumia line 1 na line yenyewe ni ya kukata. contact 0715696962
Wewe ndio mimi mkuu. Roho imeniuma nilipoliona tangazo hafu ukichukulia muuzaji uhakika. Dah.
Mkuuu, mimi nahitaj samsung galax s3 , unafanya beigani kama unazo
Dah, haya mambo yanakuja kipindi ambacho sina ela. Mpaka mwisho wa mwaka utakuwa nazo?
Watoto wa mjini walinishikisha kwa laki nne.
Unaionaje lakini?
iko sawa, na enjoy kama niko na S4.
kwa wale wanaohitaji samsung galaxy s4 clone zinapatikana kwa bei tajwa zipo kwenye box na ni mpya.