Samsung galaxy s4 clone mzigo mpya kutoka uingereza umeingia

talib

Member
Mar 29, 2010
36
5
Samsung galaxy s4 clone mpya umeingia,android 4.2 jelly beam,quadcore,16gb wasiliana na namba 0715444341 kuweka oda yako piece zaidi ya kumi unapata punguzo la 5%,sim mpya ziko kwenye box,wasiliana na namba hapo juu au njoo dukani magomeni lango la jiji

attachment.php
 
Attachments

  • CAM00097.jpg
    CAM00097.jpg
    489.6 KB · Views: 676
Samsung galaxy s4 clone,mpya kwenye box zake,zenye andaroid 4.2 jelly bean,16gb,quodcore processor, wasiliana nasi kwa simu 0655224333 au 0715444341 au fika magomeni lango la jiji kwenye duka letu,oda zaidi ya kumi unapata punguzo la asilimia 5.nime attach picha kwa maelezo zaidi
 
Mkuu mimi ni muumini wa Fair Trade, huwezi kupata Galax S4 kutoka Uingereza ukauza laki 4 Tanzania ambayo ni chini ya £150. Labda km ni za wizi. Alafu hiyo charger ya simu si ya UK. Sikuingilii ktk biashara yako lkn usidanganye walaji.
 
Hakuna anaedanganywa,hulazimishwi kununua,kuhusu charger ni kweli zinakuja na 3ways plug charger ambazo zinabadilishwa toka korea na atutumi 2way plug as on the picture
 
Mkuu mimi ni muumini wa Fair Trade, huwezi kupata Galax S4 kutoka Uingereza ukauza laki 4 Tanzania ambayo ni chini ya £150. Labda km ni za wizi. Alafu hiyo charger ya simu si ya UK. Sikuingilii ktk biashara yako lkn usidanganye walaji.

Nashangaa na mimi Mkuu, clone hizo mbona sana tu nazileta mimi hizo? Hizo zote zinatengenezwa UAE wanaweka made in Korea, Waambie ukweli customers wako na bei juu sana hiyo, sisemi bei gani zinauzwa sitaki kuvuruga biashara yako
 
Kk kama unaleta uza na w kwa bei yako its free market,im a business man,i dont need to go to uae have british citizenship i can go to korea as often as i want,mlio dar ndo mnaenda uae,mimi naenda kwa manufacturer wenyewe,so ugombwi kama bei ni kubwa weka zako kwa laki1 hope watanunua sana.
 
to me any clone si imara. labda zako ni imara. Ukisema kutoka UK unamaanisha zinatengenezwa UK.....UK wanaclone simu?
 
Kk kama unaleta uza na w kwa bei yako its free market,im a business man,i dont need to go to uae have british citizenship i can go to korea as often as i want,mlio dar ndo mnaenda uae,mimi naenda kwa manufacturer wenyewe,so ugombwi kama bei ni kubwa weka zako kwa laki1 hope watanunua sana.

Pamoja Mkuu
 
Sina uhakika sana na hizo simu. Nishawahi kuingizwa kingi. My first Android phone ilikua samsung accessories kama hizo. Kumbe ilikua fake. I like a miezi miwili tu. Nikamwambia niende duka la samsung kabisa. Huko ndio nikapata kitu cha ukweli samsung galaxy s7582 duos. Warranty 2 years. Ogopeni kununua simu kwa watu mtaani. Ukitaka samsung nenda kwa wakala wa samsung. Ogopeni simu ilioandikwa samsung kumbe sio genuine product. Heri ununue mchina genuine kama Huawei, I tel au tecno. Ogopeni simu fake zilizoandikwa samsung, Nokia blackberry , yani ni vimeo balaa.
 
Just kwa darasa la bure,muingereza hatengenezi samsung or any other mobile device,hizi ni clone zilizotengenezwa korea with european standard na kwa matumizi ya ulaya,hamjakatazwa kuuza its free market agizeni muuze laki 1 moja.
 
Mkuu mimi ni muumini wa Fair Trade, huwezi kupata Galax S4 kutoka Uingereza ukauza laki 4 Tanzania ambayo ni chini ya £150. Labda km ni za wizi. Alafu hiyo charger ya simu si ya UK. Sikuingilii ktk biashara yako lkn usidanganye walaji.
Kaka umeniwahi. Nilitaka kusema hivyo hivyo, vinginevyo atwambie ni mchina tena wa hali ya chini, kwa sababu hata China wanatoa vitu vyenye ubora mzuri hasa kwa products wanazopeleka UK
 
Just kwa darasa la bure,muingereza hatengenezi samsung or any other mobile device,hizi ni clone zilizotengenezwa korea with european standard na kwa matumizi ya ulaya,hamjakatazwa kuuza its free market agizeni muuze laki 1 moja.

acha uongo hakuna s4 clone inaingia UK hapa kwa dhumuni la biashara labda ushike mkononi kwa ajili ya matumizi yako binafsi.

ila kama umepambia tu kwa lugha ya kibiashara sawa mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom