samsung galaxy s4 best price ever

samsung galaxy s4 best price ever

Ukipata mteja niunganishie na mimi niko na HTC HD7. Nimeshaweka apps kibao
 
mbona bei ni almost the same na zinazopatikana madukani? maana madukani ni 1.2M mpaka 1.3M mimi sijaona that big difference
 
mbona bei ni almost the same na zinazopatikana madukani? maana madukani ni 1.2M mpaka 1.3M mimi sijaona that big difference

mimi mwenyewe nimeshangaa sana katumia nguvu kubwa kuintertain bei ambayo ukienda mlimani city au pale posta ni the same price
 
Kweli .ni bei poa, karibu na bure ...!!!
 
unauzia tz au marekani? acha ubwege weka bei ya tsh hiyi bei ya dola nani akahangaike kunvert kwa exchange rate inayobadilika kila siku? acha ulimbukeni
 
Back
Top Bottom