Achahasira JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 1,213 Reaction score 215 Aug 5, 2012 #1 habari zenu wakuu nauza samsung galaxy s2 16gb white inakuja na boxi na kila kitu ni mpyaa kabisa bei 700,000 namba ya simu 0688112112,0688033330
habari zenu wakuu nauza samsung galaxy s2 16gb white inakuja na boxi na kila kitu ni mpyaa kabisa bei 700,000 namba ya simu 0688112112,0688033330
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,387 Aug 5, 2012 #2 600000 huchukui?
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,773 Reaction score 22,084 Aug 5, 2012 #3 galaxy s2 16gb kuna model kama sita hivi, mfaano I777 au Epic 4 touch au T989 au I9100 au I9100G?
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 594 Aug 5, 2012 #4 kama una Epic 4 au I1900G nikupe 600000
Achahasira JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 1,213 Reaction score 215 Aug 5, 2012 Thread starter #5 samahani kwa kuchelewa kujibu wakuu ni international version ya i9100 ataye nipa 650 sawa,tuwasiliane kwa namba hizo hapo juu. nipo dar.
samahani kwa kuchelewa kujibu wakuu ni international version ya i9100 ataye nipa 650 sawa,tuwasiliane kwa namba hizo hapo juu. nipo dar.