Fanya moja kati ya haya:
-Punguza apps zisizo za ulazima na zinarun sana background (Social Apps mfano Fb na Fb Messenger ndio zinaongoza),
-Tafuta App killer au speed booster kama DU Booster.
-Pendelea ku-clear chache. Setting>>Applications>>Running Apps>>Then unakua unaclick app hafu clear chache.
-Usiepende kufungua apps nyingi kwa pamoja.
Android ku-lag ni kawaida, esp hizi low end smarts.