Asante nitalifanyia kazi
Betri linakufa halafu simu inampa hiyo ishara ya kuchaji isipokua haipandishi %?Toka umeinunua ni muda gani mpaka leo? inaonyesha Betri imesha kufa tayari,badili betri Mkuu.
Iliwahi kunitokea hiyo,nilipobadili betri na tatizo likatoweka.Betri linakufa halafu simu inampa hiyo ishara ya kuchaji isipokua haipandishi %?