Samsung galaxy P1000 '7

Samsung galaxy P1000 '7

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,010
Reaction score
60,472
Owwwkey so I feel like bragging a bit 'cause I got me a real cool gadget today.
Recently niliharibikiwa na simu pamoja na laptop yangu nikabaki kapa.Katika harakati za kutafuta simu na laptop nzuri na bado nisitoke nje ya budget nikakutana na maelezo ya haka katablet. . . . nilikapenda right away maana ni practical kwangu.

Now I got my phone and laptop all in one.
Nimeshacheki simu zake naona haina matatizo. . . iwe kwa speaker au headset.
Kusurf ndo kabisaaaaa usiseme. . . .this thing is soooo smooth.
Editing and creating office document works perfectly. . . . no more late assignments.
Too bad wameacha kutengeneza hizi tablet.Inayofuatia ni kubwa zaidi sema it doesn't support GSM calls.

Sema kitu nlichoshuka daraja ni camera. . . but I guess a digital one side couldn't hurt.
Neway kama na wewe unataka vikorokoro vyako vyote (simu,emails,text,surfing the net,doing school work,creating documents,skye etc )in one place this is for you.

I'm now officially a SAMSUNG FAN.
 
Nimependa analysis yako. But kwa nini wameacha kutengeza hizo kitu ?
 
Kama wataka kitu cha uhakika nunua samasung note.
OTIS
 
karibu sana samsung,uzuri wake mwingine cheki na shalobaro aliushudia juzi juzi tu!!
 
Asante. . . ila sio samsung tu. . . Simu zote za kileo rahisi sana kuzilinda.
 
Back
Top Bottom