dkashombo2013
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 538
- 119
Hii ni Galaxy Note kioo chake ukubwa ni 8.3mm ni muendelezo wa Note1,Note2 sasa Note3 hii ndiyo sim iliyoko juu ktk android inashindana na Sony Xperia Z1 na LG G2Mkuu, hii ni Galaxy phone au Galaxy Tab note????
hebu nitoeni ushamba hiyo uliyoitaja ni zaidi ya iphone 5 sijui na masimu gani mengine?nimeshachanganyikiwa nataka kununua simu latest ambayo camera yake iwe safi bila kusahau uwezo wake wa maswala ya internet ili niweze kujiachia.
Nalog off
mimi na wewe hatuchekani.........waniambie ni simu gani latest smart phone iliyopo sokoni.....ambayo inabeba line mbili.....nimechoka kubeba mlundikano wa simu............
nakwambia huku kukaa kaa nyuma kunaharibu mambo kibao.mimi na wewe hatuchekani.........waniambie ni simu gani latest smart phone iliyopo sokoni.....ambayo inabeba line mbili.....nimechoka kubeba mlundikano wa simu............
Samsung Arusha branch waliileta long time hadi nimesahau. Huku samsung arusha branch wanaiuza 1.45 mil.
Nimechoka,juzi nimenunua samsung galaxy s4 genuine,na leo naletewa habari nyingine,nikishindana na technology tafilisika,nimebakiza kununua ipad ya apple original basi,sitanunua tena divices za mawasiliano.
mkuu hata mtu mwenye galaxy s3 hana haja na note 2, note 3, au s4.
ukishamiliki simu ambayo ni flagship ni jukumu la manufacture kukupa wewe updates.
s4 sasa hv inaanza kupata updates ya android 4.3 inamaana vitu vyote atakavyofanya note 3 na wewe utaweza kuvifanya.
mwakan itatoka s5 yenye android 4.4 na wewe utapata update itayofanya simu yako iwe kama s5 hivyo hakuna haja kila simu inayotoka ununue
Naziuza hapa chiga
hebu nitoeni ushamba hiyo uliyoitaja ni zaidi ya iphone 5 sijui na masimu gani mengine?nimeshachanganyikiwa nataka kununua simu latest ambayo camera yake iwe safi bila kusahau uwezo wake wa maswala ya internet ili niweze kujiachia.
Nalog off