Samsung galaxy note 5 vs Galaxy s6

Samsung galaxy note 5 vs Galaxy s6

saemonity

Senior Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
166
Reaction score
261
Hellow Everyone!

Hivi kati ya simu hizo mbili ipi ni bora zaidi??
 
aya bana kwa kutuchezea akili, japo ntakujib note 5 iko vzur zaidi ya s6
 
meuliza kwasababu naskia software ni moja kasoro S-pen na display size
Simu hizo hazifanani hata kama unahisi software ni moja
S6 ina 3gb RAM wakat note 5 ina 4gb RAM.
S6 display ndogo 5.1" note 5 display ni standard 5.7"
Nenda ka google uone spacs zake utajiridhisha.
Note 5 iko juu.
 
Nauza galaxy s6edge plus ila imevunjika kiooo
 
Kwa anaye itaji anichek tuwasiliane tufanye business
 
Samsung Galaxy J5 Prime
Wajuzi Hebu Nijuzeni Ubora Wake Kwa Mlio Tumia Hiyo Smartphone

Pia Naomba Ufafanuzi
Maneno Haya Yanayotumika Hasa Kwenye Smartphone
Kwenye Masuala Ya Vioo Vya Smartphone
PLS TFT
Super AMOLED
Gorilla Glass


Kipi Ni Kioo Bora Kinapokuwa Kwenye Smartphone
 
Samsung Galaxy J5 Prime
Wajuzi Hebu Nijuzeni Ubora Wake Kwa Mlio Tumia Hiyo Smartphone

Pia Naomba Ufafanuzi
Maneno Haya Yanayotumika Hasa Kwenye Smartphone
Kwenye Masuala Ya Vioo Vya Smartphone
PLS TFT
Super AMOLED
Gorilla Glass


Kipi Ni Kioo Bora Kinapokuwa Kwenye Smartphone
iyo tft na pls, ni teknolojia ya lcd displays, pls(au ips) ni maboresho ya tft, ips na tft zinaitaji backlight(white light source) kuweza kufanya kazi, tecno ni vinara wa kutumia izi lcd

super amoled, hii pia ni teknolojia ya display, apa kila 'pixel' inakua na 'led' yake, hatuitaji 'backlight' kwa maana hii hua zina 'save battery', samsung ni kinara kwa kutumia teknolojia hii.

gorilla glass hulinda iyo display yako. ichi ni kioo cha juu katika simu, hua ni kigumu, kama jiwe, na hua akiitaji 'screen protector' na vingi hua ni scratch resistant

simu kama S4 , inatumia display ya super amoled na kioo cha corning gorilla glass

simu kama tecno y4 inatumia ips lcd na kioo cha kawaida(ambacho utaitaji screen protector kuepuka mikwaruzo)
 
Samsung Galaxy J5 Prime
Wajuzi Hebu Nijuzeni Ubora Wake Kwa Mlio Tumia Hiyo Smartphone

Pia Naomba Ufafanuzi
Maneno Haya Yanayotumika Hasa Kwenye Smartphone
Kwenye Masuala Ya Vioo Vya Smartphone
PLS TFT
Super AMOLED
Gorilla Glass


Kipi Ni Kioo Bora Kinapokuwa Kwenye Smartphone
NETWORKTechnologyGSM / HSPA / LTE2G bandsGSM 850 / 900 / 1800 / 1900 - SIM 1 & SIM 23G bandsHSDPA 850 / 900 / 1900 / 21004G bandsLTE band 1(2100), 3(1800), 5(850), 7(2600), 8(900), 20(800), 38(2600), 40(2300) - EMEA, India LTE band 1(2100), 3(1800), 5(850), 7(2600), 8(900), 28(700), 38(2600), 40(2300) - AustraliaSpeedHSPA, LTE Cat4 150/50 MbpsGPRSYesEDGEYesLAUNCHAnnounced2016, SeptemberStatusAvailable. Released 2016, OctoberBODYDimensions142.8 x 69.5 x 8.1 mm (5.62 x 2.74 x 0.32 in)Weight143 g (5.04 oz)BuildFront glass, aluminum body, plastic endsSIMDual SIM (Nano-SIM, dual stand-by)DISPLAYTypePLS TFT capacitive touchscreen, 16M colorsSize5.0 inches, 68.9 cm2 (~69.4% screen-to-body ratio)Resolution720 x 1280 pixels, 16:9 ratio (~294 ppi density)MultitouchYesProtectionCorning Gorilla Glass (market dependent)PLATFORMOSAndroid 6.0.1 (Marshmallow)ChipsetExynos 7570 QuadCPUQuad-core 1.4 GHz Cortex-A53GPUMali-T720 MP2MEMORYCard slotmicroSD, up to 256 GB (dedicated slot)Internal16/32 GB, 2 GB RAMCAMERAPrimary13 MP (f/1.9, 28mm), autofocus, LED flashFeaturesGeo-tagging, touch focus, face detection, panorama, HDRVideo1080p@30fpsSecondary5 MP, f/2.2SOUNDAlert typesVibration; MP3, WAV ringtonesLoudspeakerYes3.5mm jackYesCOMMSWLANWi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi Direct, hotspotBluetooth4.2, A2DP, LEGPSYes, with A-GPS, GLONASS/ BDS (region dependent)RadioFM radio; recordingUSBmicroUSB 2.0, USB On-The-GoFEATURESSensorsFingerprint (front-mounted), accelerometer, proximityMessagingSMS(threaded view), MMS, Email, Push Mail, IMBrowserHTML5 - Xvid/DivX/MP4/H.265 player
- MP3/WAV/eAAC+/FLAC player
- Photo/video editor
- Document viewerBATTERY Non-removable Li-Ion 2400 mAh batteryTalk timeUp to 16 h (3G)Music playUp to 54 hMISCColorsBlack, GoldSAR0.71 W/kg (head) SAR EU0.42 W/kg (head) 0.83 W/kg (body) .

Binafsi natumia Samsung J5 Prime 2016 Mpk sasa nimeupdate kwenda android version 7.0 iko vizuri sana .
 
Back
Top Bottom