Nahitaji hiyo simu wakuu...iwe original sitaki famba..kama una copy yako kaa pembeni..budget ni 750000
Mwnye nayo aweke contact hapa tufanye biashara...

Mkuu ongeza laki moja nikupe note 4 mpyaaaa
mimi nahitaji HTC one X mkuu , unyo? na ni tshs ngapi? plz
Nina htc one vx only 420 topppp