MAHENDEKA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2010
- 340
- 181
Heshima kwenu wakuu na wajuzi wajuzi wa mambo
Ipi ni simu bora kati ya hizo mbili tukianza kuzichambua kipengele kimoja kimoja ?.Na je ipi ni simu bora yenye ufanisi kiujumla/overal performance ?
Kama kuna mtu anaweza kuweka tofauti katika lugha rahisi asaidie tafadhali,maaana nimetembelea huko GSMArena.com - GSM phone reviews, news, opinions, votes, manuals and more... nmekuta tofauti zake lakini mwisho wa siku nashindwa kujua maana kuna maneno yalokaa kiufundi sana
Hilo ni moja pili nina simu nimeletewa kama zawadi kutoka america kaskazini ni samsung galaxy note 3,lakini hii simu haikubali line kwa maana ya kwamba ukiweka line haisomi,nimefurukuta nayo mpaka nimeona nijisalimishe hapa kwa msaada zaidi.Simu hii ukiiwasha wakati inawaka inaandika neno "Sprint",mtu mmoja kaniambia kwamba hio simu imefungwa sasa sijajua imefungwaje ?
Tusaidiane wakuu mimi nna knowledge kidogo ya IT.
Naomba kuwakilisha